youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 444
Ganda la ndizi ,kitongaa hamtakii, wadada wa dar bananaomba uniunganishe nae
Ganda la ndizi ,kitongaa hamtakii, wadada wa dar bananaomba uniunganishe nae
Umeolewa?Nimeikimbia zinaa nipe hongera shetani kashindwaa
Ili nigundue nini
Eheheheh ,we mzuri bana japo kimbaumbau ina maana pizza hazijakukubali?Khaaa yamekuwa haya tena.... ?
Halafu mbon wanaume tuliona sura chungu na vimbaumbau unapenda kutupiga vita hivyo . Pesa mtu hana sura chungu utatuuatuaa mama.....
Ndiowewe ni mwanaume kwanza?
Mi dagaa au samaki ,,nimejianika kwako we naniSJACHEKA WALA SIONI KICHEKESHO ILA UMEJIANIKA

Povuu,,unamjua baba sabrina au unajitungisha movie kichwani mwakoNamuonea huruma baba Sabrina kwa kuzaa na kilaza, na Sabrina kwa kuwa na mama mpumbavu...!!!
.. Nitafutie dawa basi maana hazitaki kunikubali.Eheheheh ,we mzuri bana japo kimbaumbau ina maana pizza hazijakukubali?
Ahahahah halaf bora we ubaki kama ulivyo,,we ukijaa utanisumbua sana baki hivyo hivyo.. Nitafutie dawa basi maana hazitaki kunikubali.
Nataka na mimi nianze kutembea kifua wazi kama naniii
Ahahahah halaf bora we ubaki kama ulivyo,,we ukijaa utanisumbua sana baki hivyo hivyo

huna tabia za kike hata kidogoNdio
Kama ambavyo husemwa wewe pia ni dume ila unaact jike
Nakuambia ningeenda huko ningekupigia simu nalia,,bora nikitulize uje unipeleke hata Malaysia nikale raha nisahau shida kwa muda
unaonekana n babie mwenye msimamo wake, na ushobok na wapuuz wanataka kukulaghi kw lengo la kukuchezea tuIli nigundue nini
Tunaendana mi na wewe kiaje?unaonekana n babie mwenye msimamo wake, na ushobok na wapuuz wanataka kukulaghi kw lengo la kukuchezea tu
Hivyo bac , ijapokuwa bado hatujafahamiana vyema na n kama bahati kwangu sasa kuwa na mchumba kama ww , nmeona kabis tunaenda
Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
Tunaendana mi na wewe kiaje?


tabia yako good kama yangu thus why nasema tunaendana, ko tunaeza tengeneza chemistri nzurNaona madume jike yanatoana povu safi sanahuna tabia za kike hata kidogo
Sory iv uko wap?Tunaendana mi na wewe kiaje?
siongeagi na watoto ndo nilivoNaona madume jike yanatoana povu safi sana