Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
- Thread starter
- #181
Atakua keshaona,,kwanza atakua ana pesa kweli huyo?Mwambie na huyo asikuzoe akuache kabisa
Atakua keshaona,,kwanza atakua ana pesa kweli huyo?Mwambie na huyo asikuzoe akuache kabisa
Basi liaMbona haichekeshi mama Sabrina
Mbona wajikoti mwenyeweeKwahyo vp mumy,.. tuyajenge
Sawa nitashukuruMama Sabrina nitaongea na wewe PM, nadhani kuna kitu unahitaji kujifunza zaidi, acha kuweka hizi za siwezi siwezi wakati unam-entertain.
Huyo mtoto wa mwanamke mwenzio ujueNami nimejionea huruma maana sitaki kukumbuka marehemu
Wewe ni shankupe siyo malaya ulikuwa malaya ukakomaa ukawa kahaba ukapevuka ukawa shangingi sasa wewe ni shankupe. Ukipenda kupokea kubali na kutoa.Kuna kaka ananisumbua sana ,,ananipigia simu ,mara sms na mnajua tu mtu ambae humuwazi wala humpendi akikupigia simu jinsi venye unavyojisikia vibaya kupokea ,,maana unaona hata hakufurahishi kabisa
Sasa huyu kaka ,kaka ake ni waziri flan hivi hapa Tz ,sijui alidhania ntashoboka ,akanitumia pesa eti nikajivinjali kidogo nikasema sawa,,vihela vyake vya mbuzi nikavila na rafiki yangu mmoja hivi,,,leo ananiambia niende kijijin nimfate eti nikabadili mawazo nikasafishe macho,,nikacheka akatuma nauli,,nikamuambia poa,,,
Hivi kweli mim nitoke mjini niende kijijim eti nikabadili mawazo khaa!!!mi mzungu kusema siyajui mazingira ya kijijini hadi nikabadili mawazo kule nikasema asinitie nuksi mie,juzi kati hapa tu nilikua zangu kampala nakula viraha vidogo vidogo pale Serena ,,eti leo niende kijijini hata nyege haziji kabisa aisee,,bora angesema twende hata Mombasa huko nikapate hata ladha mpya ya Kiswahili ,kwa kweli mi mtu akinipeleka sehemu mbaya na akili yangu inagoma hapo hapo na nnaondoka,,wanaume msituchezee ,,wazungu ndio hupenda kwenda huko vijijini kwani hawajawah ona maisha ya kule yalivyo,sasa mim nayajua bora nipelekwe sehemu ngeni nzuri nikabadili hata akili kidogo ,sio kijijin aisee bora nikatulia home nikachat jf
Tunachofata kwenu wanaume ni mtupe raha ,mtufurahishe na maswahibu yetu tuyasahau,,mtu anakupeleka sehemu hadi unaanza kumkumbuka marehemu bibi yako aku!!!
Mi nauli nimekula na blok juu nimempa sitaki mazoea na wanaume wa ajabu mie
Mapovu ruksa hapa
Njoo mama njoo mamaTena nimemuambia asinisumbue kabisaa,bora nije kwako twende zetu baharini nikale raha na uniache kule
Sitaki shida,nilizonazo zinanitoshaa
Huyo mlala hoi atatoa wapi helaAtakua keshaona,,kwanza atakua ana pesa kweli huyo?
Bora uguswe sehemu hujawah guswaBora niende sehemu ambayo sijawah fika,
Na wewe upo kijijini eti?Wewe ni shankupe siyo malaya ulikuwa malaya ukakomaa ukawa kahaba ukapevuka ukawa shangingi sasa wewe ni shankupe. Ukipenda kupokea kubali na kutoa.
Ila sasa kula nyama za watu ndio siwezi,,Njoo mama njoo mama
Mwaaaaaaa mama sabrina
Sawa Beira baby boyHuyo mlala hoi atatoa wapi hela
Raha zote zipo kwangu njoo utulie mama
Kwahiyo anamaanisha mombasa ile tuipendayo sio ile ya kenya?Hayo ulitakiwa umwambie mwnyw kuwa unataka kwenda mombasa
Ndio maana yake...yeye anapenda michezo ya kimombasaKwahiyo anamaanisha mombasa ile tuipendayo sio ile ya kenya?
NenoCha mwanaume akiliwi bure labda ukutane na mwehu
Nipo kijijini kwa mbele.Na wewe upo kijijini eti?