sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,849
- 11,433
Poa poasiongeagi na watoto ndo nilivo
Poa poasiongeagi na watoto ndo nilivo
Nisaidie basi kujua tabia za kikeHahaha
Upo vizuri[emoji2][emoji2][emoji2] tabia yako good kama yangu thus why nasema tunaendana, ko tunaeza tengeneza chemistri nzur
Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona madume jike yanatoana povu safi sana
Eeee wewe una miaka mingapii?Sory iv uko wap?
HahahahahahaUnavyojipa promo...watafikiri ni bonge la demu kumbe gumegume used!! unakula hela ya mtu kwa kutanua domo lako ilihali humtaki si uache kuchukua? njaa mbaya sana na jamaa akikufuma lazima akutie,
Ingekuwa mie wala usingeleta hizi sarakasi, eti upelekwe Mombasa kwa hadhi gani uliyonayo?
Hujui taabu ya hela wewe, sikuungi mkono kwa hili....utongozwe weye halafu utuletee mikwara sie....Arlaaaaa
Ukute hata we unaliwa[emoji23]Malaya kazini
Muulize aliyekuita wa kiume....Nisaidie basi kujua tabia za kike
Ahahahahahanatangaza Tender ya kupelekwa Mombasa
naomba kuwa mzabuni
[emoji23][emoji23][emoji23],,,povuUnavyojipa promo...watafikiri ni bonge la demu kumbe gumegume used!! unakula hela ya mtu kwa kutanua domo lako ilihali humtaki si uache kuchukua? njaa mbaya sana na jamaa akikufuma lazima akutie,
Ingekuwa mie wala usingeleta hizi sarakasi, eti upelekwe Mombasa kwa hadhi gani uliyonayo?
Hujui taabu ya hela wewe, sikuungi mkono kwa hili....utongozwe weye halafu utuletee mikwara sie....Arlaaaaa
25 myEeee wewe una miaka mingapii?
Pasua kichwa wewe,,eti niwe naweka viungo vya kike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muulize aliyekuita wa kiume....
Labda uwe unaweka viungo vya kike kwenye thread zako ndiyo wakuite wa kike.
Heheh yaan sijui alifikiria nini aisee,halaf sura yake chungu aisee hata hamu hupati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kweli,,ndio maana mi nakupenda we muelewa sana bora angenipeleka kule baharini ulisema kuzuri ningeenda kushangaa eti,,sio kushikishwa manumbuMama sabrina huyo
Hakujua kama wewe unapenda kushikishwa shampen mkonon ana taka akakushishe viaz vitamu huko kanda ya ziwa
Kataa mwaya tena akiendelea kukushobokea mwambie utamsema kwa BEIRA BABY BOY
Kwani pesa ina sura mbaya mkuuWanawake mna mambo za kijinga sana, mwanzo unaponda, siku ukitoa mpapa unasifia kama siyo wewe.
Sipendi wanawake wajinga wajinga wenye kung'ong'a watu wanaowatongoza huku pesa unapokea.
Kua kwanza basi fikisha hata 30 halaf nicheki boss25 my
Hutaniw ninayo 32Kua kwanza basi fikisha hata 30 halaf nicheki boss