Niwachekeshe kidogo

Niwachekeshe kidogo

Kwa hiyooo hiyoo helaa Angekutumiaa Uende hotel akuto.... ungeenda ausio..!???
Haa ha ha... Ogopa mwanamke mzuri alafu kichwani empty... huwa mnaliwaaa mpaka mwishooo...
Kishasema akipelekwa mombasa anaachia mzigo
 
Labda anataka uende huku kijijini Manyara maana nako kuna hii Serena Hotel au nako hutaki...??


poolside-at-the-lake.jpg


SerenaManyara-195.jpg


page_rooms_mainBanner.jpg
 
Unavyojipa promo...watafikiri ni bonge la demu kumbe gumegume used!! unakula hela ya mtu kwa kutanua domo lako ilihali humtaki si uache kuchukua? njaa mbaya sana na jamaa akikufuma lazima akutie,
Ingekuwa mie wala usingeleta hizi sarakasi, eti upelekwe Mombasa kwa hadhi gani uliyonayo?

Hujui taabu ya hela wewe, sikuungi mkono kwa hili....utongozwe weye halafu utuletee mikwara sie....Arlaaaaa
 
Kwanini wewe usingemwambia akupeleke huko Mombasa kama unavyotaka..
 
mkuu unamuonea bure saa nyingine wewe mwenyewe kaona hadhi yako ni ya kupelekwa kijijini...

sasa nywele una twende kilioni na masiketi makubwa ndani umevaa magagulo unaishi yombo vituka au mbagala rangi tatu unadhani atawaza akupeleke wapi
 
mkuu unamuonea bure saa nyingine wewe mwenyewe kaona hadhi yako ni ya kupelekwa kijijini...

sasa nywele una twende kilioni na masiketi makubwa ndani umevaa magagulo unaishi yombo vituka au mbagala rangi tatu unadhani atawaza akupeleke wapi
Ahhahahahah
 
Ule vyangu kwa raha mustarehe then uzngue kutoa , nakupasua walai

Afu na ww unaonekana huna hofu ya mungu kabsa bac hata ndoa yako itakushinda

Na Kama humtak it is better ukamwambia mapema kuliko kumumiza mwenzio madem wecjui mkojeee#
 
Kuna kaka ananisumbua sana ,,ananipigia simu ,mara sms na mnajua tu mtu ambae humuwazi wala humpendi akikupigia simu jinsi venye unavyojisikia vibaya kupokea ,,maana unaona hata hakufurahishi kabisa
Sasa huyu kaka ,kaka ake ni waziri flan hivi hapa Tz ,sijui alidhania ntashoboka ,akanitumia pesa eti nikajivinjali kidogo nikasema sawa,,vihela vyake vya mbuzi nikavila na rafiki yangu mmoja hivi,,,leo ananiambia niende kijijin nimfate eti nikabadili mawazo nikasafishe macho,,nikacheka akatuma nauli,,nikamuambia poa,,,
Hivi kweli mim nitoke mjini niende kijijim eti nikabadili mawazo khaa!!!mi mzungu kusema siyajui mazingira ya kijijini hadi nikabadili mawazo kule nikasema asinitie nuksi mie,juzi kati hapa tu nilikua zangu kampala nakula viraha vidogo vidogo pale Serena ,,eti leo niende kijijini hata nyege haziji kabisa aisee,,bora angesema twende hata Mombasa huko nikapate hata ladha mpya ya Kiswahili ,kwa kweli mi mtu akinipeleka sehemu mbaya na akili yangu inagoma hapo hapo na nnaondoka,,wanaume msituchezee ,,wazungu ndio hupenda kwenda huko vijijini kwani hawajawah ona maisha ya kule yalivyo,sasa mim nayajua bora nipelekwe sehemu ngeni nzuri nikabadili hata akili kidogo ,sio kijijin aisee bora nikatulia home nikachat jf
Tunachofata kwenu wanaume ni mtupe raha ,mtufurahishe na maswahibu yetu tuyasahau,,mtu anakupeleka sehemu hadi unaanza kumkumbuka marehemu bibi yako aku!!!
Mi nauli nimekula na blok juu nimempa sitaki mazoea na wanaume wa ajabu mie
Mapovu ruksa hapa
Ndege mjanja hunasa tundu bovu
 
Ule vyangu kwa raha mustarehe then uzngue kutoa , nakupasua walai

Afu na ww unaonekana huna hofu ya mungu kabsa bac hata ndoa yako itakushinda

Na Kama humtak it is better ukamwambia mapema kuliko kumumiza mwenzio madem wecjui mkojeee#
Niwe na Hofu ya Mungu kwenye kuzini
Si bora nimekimbia zinaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom