Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #61
EheheNakugawa bureee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
EheheNakugawa bureee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Abee,,hivi hata we ungekubali?We Mama Sabrina wewe
Ww endelea kuringa tu..... ipo siku utakuja kuangukia mikononi mwa mtu ambaye hata.....Heheh yaan sijui alifikiria nini aisee,halaf sura yake chungu aisee hata hamu hupati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huogopi kula hela za watu af utamu hutoi?Abee,,hivi hata we ungekubali?
Mmmh [emoji23][emoji23][emoji23]Ww endelea kuringa tu..... ipo siku utakuja kuangukia mikononi mwa mtu ambaye hata.....
Pia atakufanya na kukipiga chini
Kiranga chake,akome kutongoza tongoza hovyoHuogopi kula hela za watu af utamu hutoi?
Wanaume si watu wa mchezo mchezo dearKiranga chake,akome kutongoza tongoza hovyo
Aaa wapi wala hawezi nifanya kitu,tena atanyamaza kitu maana ndugu zake wakisikia watamcheka na tunafahamianaWanaume si watu wa mchezo mchezo dear
Ooh hayaAaa wapi wala hawezi nifanya kitu,tena atanyamaza kitu maana ndugu zake wakisikia watamcheka na tunafahamiana
Mm ndo maana huwaga nawatesa sana wasichana coz mnajeuri sanaKuna kaka ananisumbua sana ,,ananipigia simu ,mara sms na mnajua tu mtu ambae humuwazi wala humpendi akikupigia simu jinsi venye unavyojisikia vibaya kupokea ,,maana unaona hata hakufurahishi kabisa
Sasa huyu kaka ,kaka ake ni waziri flan hivi hapa Tz ,sijui alidhania ntashoboka ,akanitumia pesa eti nikajivinjali kidogo nikasema sawa,,vihela vyake vya mbuzi nikavila na rafiki yangu mmoja hivi,,,leo ananiambia niende kijijin nimfate eti nikabadili mawazo nikasafishe macho,,nikacheka akatuma nauli,,nikamuambia poa,,,
Hivi kweli mim nitoke mjini niende kijijim eti nikabadili mawazo khaa!!!mi mzungu kusema siyajui mazingira ya kijijini hadi nikabadili mawazo kule nikasema asinitie nuksi mie,juzi kati hapa tu nilikua zangu kampala nakula viraha vidogo vidogo pale Serena ,,eti leo niende kijijini hata nyege haziji kabisa aisee,,bora angesema twende hata Mombasa huko nikapate hata ladha mpya ya Kiswahili ,kwa kweli mi mtu akinipeleka sehemu mbaya na akili yangu inagoma hapo hapo na nnaondoka,,wanaume msituchezee ,,wazungu ndio hupenda kwenda huko vijijini kwani hawajawah ona maisha ya kule yalivyo,sasa mim nayajua bora nipelekwe sehemu ngeni nzuri nikabadili hata akili kidogo ,sio kijijin aisee bora nikatulia home nikachat jf
Tunachofata kwenu wanaume ni mtupe raha ,mtufurahishe na maswahibu yetu tuyasahau,,mtu anakupeleka sehemu hadi unaanza kumkumbuka marehemu bibi yako aku!!!
Mi nauli nimekula na blok juu nimempa sitaki mazoea na wanaume wa ajabu mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapovu ruksa hapa
Sasa umetuchekeshaa au umejichekesha?!!Heheh yaan sijui alifikiria nini aisee,halaf sura yake chungu aisee hata hamu hupati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bas Sawa tumekuelewaSio kila mtu utampa uchi hii dunia,,kuna wengine bahati yao unakuta mkaka anavutia hata akikulaza vichakani unakubali tu,,,sasa huyu sura mbaya halaf tena anipeleke kijijini aigoooo