Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,668
- 11,333
What goes around......
Na wako nae anagaragazwa hivyo hivyo,
ila hapo sasa raha yake nini jamani, unakuwa na mtu mwenye mwanaume mwingine wakati una wako!! Ili iweje? Tamaa ya ngono? Si una wako?
Shemeji una play smart tuu, lazima kwanini usifanikiwe wakati ushafanikiwa paka game?
Kwa zile enzi zetu ni lazima tuu, tena unamfanya aone kwanini alikuwa anapoteza muda
Love sina huo wimbo nauomba
Mie siwezi kuwa na mtu mwenye mtu... tena nikijua tu utapata makofi na kwa heri
Teh teh...
Shemeji unataka ugundue nini labda?
Nakutumia luv...wimbo mzuri sana huu
Kuna wanaume wengine wanafanya hivyo
Binafsi ishawahi nitokea
Kuna mkaka moja alinitongoza nikamjibu tayar im already taken but jamaa king'ang'anizi ruba weka pembeni
Yaani eti yuko radhi kushare ili tu niwe nae
kuna baadhi ya mambo yataka moyo sana kuyakubali kwenye mapenzi. kwanini ushare?
tafuta mmoja tulia nae.
naupenda sna huu wimbo,,,,,,mapenzi sio pesa japo ikikosekana yanapungua!
Bwana shemeji tatizo wewe bahiri, kwahiyo cute b akizisaka we unatulia tu ukisubiri azilete!! Ndio maana unaona normal, hapo hakuna mapenzi aisee, kama unampenda mtu huwezi ruhusu awe na mtu mwingine kwa sababu yoyote ile, mayb uwe ------- hivyo unataka uonekane nawe unamiliki kitu!
kuwa wanaume wanawatumia wanawake wao kama kitega uchumi
mpo wengi lakini tunapowatongoza mnasema mna watu wenu so tunaona bora tuwe spare tyre ili atakaeonekana mwamba ndo ana kumiliki mazimaNilikuwa nikisikiliza wimbo huu na nikajikuta najiuliza, "hivi kuna wanaume wanaokubali kushare mapenzi huku wakitambua kuwa wanashare"
Eti wanaume hii imekaaje? Maana mie kila mwanaume niliyewahi kuwa nae walikuwa wakiniambia "nikigundua unanisaliti ndio tiketi yako na nakuacha"
Na ni sababu gani haswaa inayokupelekea ukubali kushare? Ni uhaba wa wanawake? Maana nijuavyo mimi wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Karibuni.
Mbona hata mi nshawahi kufanya hivyo. Hiyo nilifanya baada ya kuona demu wenyewe simuelewi. Mwanzo nilimkubali ila mwisho wa siku nikamuona snitch tu. Akienda kwa mabwana zake akirudi anaweka fuba mezani tunapasua kitoga! Hivyo yaan. Ila nikatfuta mtoto mkali tukawa tunafanya yetu.