vaa mgolole!
Mkuu, fikiri mkeo (lets assume you are a man) ulimwoa akiwa na tabia ya kuvaa decent! Ghafla anapata mashosti wanaomshauri avae hizi 'taiti' wanazovaa siku hizi. Kama mwanaume huwezikukataa kweli hapo?
Nitaacha vyote vikuku siachi.
Mkuu kama ulikuwepo vile, nilikuwa navunga tu kuuliza...
Hivyo vibata ningependa kuvifahamuNi kama mkufu mdogo ambao unavaliwa kwenye mguu, hasa wa kushoto lakini wengine wanavaa miguu yote. Ni staili fulani ambayo baadhi ya wanaume wanaipenda. SI unajua dada zetu wengi huvaa vile ambavyo wanaume wao (wapenzi, wachumba na waume) hupenda? Nasikia kuna VIbata siku hizi.Vipi, vinavaliwa kwenye kidole cha mguu au wapi????
Vaa mavazi ambayo kama ni mkristu unaweza kuyavaa kanisani na humu Mola wako akawawa anafurahia uvaaji wako na kam muislam vaa vazi ambalo hata msikitini unaweza vaa. maana kuna wengine nguo za kanisani/msikitini na za kwingineko ambazo mara nyingi ni za utata saana