Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

Aisee...sina cha kuprove kwako..sioni sababu ya kutamba humu....kwa kifupi unabishana na MSAFIRI....sio ABIRIA kama wewe....nimekwambiya ktk inchi hizo nikizokutajia nikupe story za inchi gani?kwnz nakushangaa kwenye uzi wako umesema mmefika sehemu mkalala wengine wakaanza kuoga na kufua....ni wapi zambia gari za zimbabwe zinalala zaidi ya CHIRUNDU BORDER au LUSAKA INTER CITY? ?na zikiwa zinalala ,,,alfajiri mnakwenda kugonga pasport..Au mnaanza safari ya border kama mmelala LUSAKA inter city....huo muda wa kufua na kuoga utaupata wapi?sasa ngoja nikufundishe hiyo njia...kuanzia Tunduma hadi south africa...tena Johberg..TUNDUMA.,ISOKA , CHINSALI....SERENJE....MPIKA.....MKUSHI..KAPIRI MPOSHI....INTER CITY terminal LUSAKA..unaanza KAFUE,CHIRUNDU border ZIMBABWE na zambia....unagonga pasport ..ENTRY..no viza allowed for TANZANIAN PASSPORT HOLDER,. ukitoka CHIRUNDU...unaingia MAKUTI, CHINYOI..KAROI..HARARE..bus terminal ,,, inaitwa ROAD PORT.UNAANZA TENA SAFARI YA SOUTH....unatoka na mabasi ya EAGLE LINER..au GO LINER...au GREYHOOND..au ENTERCAPE..nauli ni dolar 30 US au rands 450...unatoka hapo unaanza safari..MVUMA..MASVINGO...BEIT BRIDGE....unagonga pasport upande wa zimbabwe...unaingia south africa....unagonga ENTRY..unaanza na MUSINA....unaitafuta POLOKWANE CITY...unaingia PRITORIA....then unaitafuta MIDRAND.....unaingia JORBERG park station...haya lete uongo wako sasa...
Kaka kweli ww sio abria ni msafr, uko vzr sana.
 
Mambo vp guys...!!!

Ule mwendelezo wa hadithi tam y kusisimua nitaanza kuileta hivi punde.

Ni hadithi ya kweli inayonihusu mimi mwenyewe safari yangu ya kutoka dar es salaam Tz to South Africa na hadi hapa nilipo.
 
Akina mpwayungu wapo wengi sana
Mambo vp guys...!!!

Ule mwendelezo wa hadithi tam y kusisimua nitaanza kuileta hivi punde.

Ni hadithi ya kweli inayonihusu mimi mwenyewe safari yangu ya kutoka dar es salaam Tz to South Africa na hadi hapa nilipo.

Jina nililokuwa natumia hapo awali #Tooth Brush,

Na Sasa ni..#New ID I.
 
Umetisha😂 kwahyo sasa upo wapii!!! Russia au¡!!
 
Back
Top Bottom