PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,289
- 17,313
😂😂😂😂Lugha yako yakuita vijana wenzio mkaka sijaipenda.
Niko epsod ya pili
Huna lolote labda south ya kwa Bi nyau.Mambo vp guys...!!!
Ule mwendelezo wa hadithi tam y kusisimua nitaanza kuileta hivi punde.
Ni hadithi ya kweli inayonihusu mimi mwenyewe safari yangu ya kutoka dar es salaam Tz to South Africa na hadi hapa nilipo.