Ndoa ya Mkeka
Senior Member
- Aug 1, 2014
- 183
- 98
Mkuu,kadiri nijuavyo,hakuna visiwa vingine ndani ya kisiwa cha Mafia.Kisiwa cha Mafia kinaunda wilaya mojawapo ya wilaya sita za Mkoa wa Pwani.Mafia pia ni Jimbo la Uchaguzi ambalo lina kata saba: Baleni,Jibondo,Kanga,Kilindoni,Kirongwe,Kiegeani na Mibulani. Si kweli kuwa kuna maeneo wanawake wanakatazwa kutembea katika Kisiwa/Wilaya ya Mafia. Idadi ya wakazi wa Mafia ni zaidi elfu sabini.
Bila Shaka Hukijui kisiwa cha Mafia,
Ndani ama pembezoni ya kisiwa cha Mafia Kuna visiwa kadhaa vinavyojumuishwa ktk wilaya ya Mafia,
Kuna
1.Jibondo
2.Juani
3.Chole
4.Bwejuu
5.Mbarakuni
Nb.Kama swali hulijui usahihi wake haina haja ya kulijibu kwa maana unapotosha ukweli.