Niulizeni kuhusu mkoa wa Pwani

Niulizeni kuhusu mkoa wa Pwani

Sioni hata dalili ya Mchange hata kupata wasikilizaji. Hatahivyo,bado simuoni Mgombea mwenye nguvu wa CHADEMA ingawa CCM imechokwa na wananchi wanajiandaa kuikataa.

Huyu Dogo alimhenyesha sana Mh. Koka 2010. Nadhani kama asingesaliti kambi, 2015 angeweza chukua ubunge.
 
noted.
ila naomba nikuulize swali la ufahamu, hivi kibaha education centre ilijengwa mwaka gani? je ulikuwa ni msaada kutoka nchi fulani ya ulaya? maana kuna raia mmoja wa kigeni alikuwa anatamba kuwa wao ndio walijenga sio nyerere!

Mkuu obama wa bongo,Kibaha Education Centre ilijengwa mwaka 1970. Ilijengwa na Serikali ya Hayati Mwalimu Nyerere pamoja na ufadhili wa nchi kama Denmark,Sweden,Finland na Norway.
 
Last edited by a moderator:
kwann mkoa wenu unaongoza kwa umasikini pamoja na miundo mbinu ya barabara kuwepo...ardhi ya kutosha na bahari.

Mkuu Ginner,fanya kwanza utafiti wa mikoa maskini Tanzania halafu ndiyo uje useme unayoyasema. Hatahivyo,Pwani bado uko nyuma kimaendeleo. Hii inatokana na kukosekana au kupungua kwa mipango,kujituma na uongozi imara
 
Last edited by a moderator:
Ngoma za usiku hasa mdundiko zimechangia kwa kiasi kikubwa tabia hatarishi ikiwemo uasherati kwa umri mdogo.. Hii nina ushahid nalo nilipokuwa nasoma kibiti high school. Rufiji... Kiukweli ukiacha DSM sijapata ona wilaya inayoongoza kwa sherehe.. Muziki na ngoma za kienyej kama Rufiji vinavyoambatana na uasherati ktk umri mdogo na maambukiz ya kas ya HIV...
JE.. MKOA WENU UNACHUKUA HATUA ZIPI KUDHIBITI HALI HII... MANA HT KITAKWIMU MKOA WA PWANI NI MIONGONI MWA MIKOA AMBYO UKIMWI UNAENEA KWA KASI....
Kumbe wewe umesoma KINYANYA..............aiiiii.........
 
niko arusha ila kuna shamba nilinunua mkuranga wanait sijui mbez nn ckumbuk vizuri hivi nikitaka kuuza saiv eka 1imefika sh ngapi?
 
mkuu hii tafiti ya kuangalia kinyanya tu, kwa maana ya magogo matatu, na wauza mapande ndio unaitolea ushuhuda. we umesoma kibiti ya mwaka gani bhana.
 
Mimi nimesoma kibti V na VI.. 2007/2009

syo rufiji tu ukweli ni kuwa tabia za watu wa mkoa huu zinafanana sana ndo mana upo 10 bora HIV
 
aaah! sio kihivyo mzee!mwenyewe nilikua hapo kuanzia 2006/2012. hiyo takwimu umeifanyia kinyanya tu mdau. naona ulikua unamtoroka mzee mwenguvu kwenda kwa vigodoro hahaha
 
niko arusha ila kuna shamba nilinunua mkuranga wanait sijui mbez nn ckumbuk vizuri hivi nikitaka kuuza saiv eka 1imefika sh ngapi?

Bei ni maelewano. Hata buku unaweza kuuza....ha ha ha ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom