Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Nitafarijika kujibu maswali yenu. Nitawaeleza kuhusu Kibaha, Bagamoyo,Kisarawe,Mkuranga,Rufiji na Mafia
Karibuni kwa maswali
Karibuni kwa maswali
Ha ha haaa! Niulize style imebamba sana jukwaa hili.
Kwa nini wakazi wa Pwani hawana utamaduni wa kujenga vyoo vizuri vya kujisitiri?
Nitafarijika kujibu maswali yenu. Nitawaeleza kuhusu Kibaha, Bagamoyo,Kisarawe,Mkura
nga,Rufiji na Mafia
Karibuni
Nitafarijika kujibu maswali yenu. Nitawaeleza kuhusu Kibaha, Bagamoyo,Kisarawe,Mkura
nga,Rufiji na Mafia
Karibuni
Wewe umehamisha wangapi? Na huko mjini kwenu mnaishi kabila lenu tu?@kazi kwanza
Ngoma za usiku hasa mdundiko zimechangia kwa kiasi kikubwa tabia hatarishi ikiwemo uasherati kwa umri mdogo.. Hii nina ushahid nalo nilipokuwa nasoma kibiti high school. Rufiji... Kiukweli ukiacha DSM sijapata ona wilaya inayoongoza kwa sherehe.. Muziki na ngoma za kienyej kama Rufiji vinavyoambatana na uasherati ktk umri mdogo na maambukiz ya kas ya HIV...
JE.. MKOA WENU UNACHUKUA HATUA ZIPI KUDHIBITI HALI HII... MANA HT KITAKWIMU MKOA WA PWANI NI MIONGONI MWA MIKOA AMBYO UKIMWI UNAENEA KWA KASI....