Niulize swali lolote la History au Kiswahili

Niulize swali lolote la History au Kiswahili

Nini Maana ya Maneno haya?
Pijini
Lahaja
Krioli
Misimu

2)The Meaning of Mwenemutapa
 
we mgonjwa
Wewe ni zaidi, mimi nimesema naomba kuelezewa, ww unanipa link hiyo ili iweje kwa mfano, kama mwanahistoria unapaswa kuelezea c kutoa link hzo, kwan hata mimi wikipedia napafaham, ingekuwa ni hvyo hata walimu wasingekuwa wanawafundisha wanafunz, wangekuwa wanagawa vitabu tu nakuondoka ili wanafunzi wasome wenyewe.
 
rudia maelezo yako uone ulivyo lofa. agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Kamwe usijifanye unajua kila kitu ndo maana mwenye PhD Bado anaendelea kufanya tafiti sasa ww na bachelor yako unahisi unajua kila kitu ktk mayo masomo.

Any way, na mimi nikuulize WAKOLONI WALIPOKUJA AFRICA WAOIKUWA WANATUMIA CHAKULA GANI?

2. SPEECH ACTS KWA KISWAHILI INAITWAJE?
 
rudia maelezo yako uone ulivyo lofa. agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Duh!! Wewe kichwani kuhusu history kuna vumbi, maana unataka kuweka mpira kwapani kwa kushindwa kujibu swali na kuanza kuleta matusi. Ubarikiwe sana!!
 
WHAT WAS THE CONTRIBUTION OF SHEIKH ANTA DIOP& V.Y MUDIMBE TOWARD THE RECONSTRUCTION OF AFRICAN HISTORY?
 
Mtoa mada na kabachelo kake sijui amekapata toka chuo gani?

Any way, in brief you may let me know about what is vita ngozi?
Explain three reason and effects of vita ya ngozi
 
Kiamba jengo ni nini?
Tofautisha kati ya kifundo dada na kifundo mama
Msimbo ni nini?
Ni hayo tu naomba msaada wako
 
Unawajua 'young kavirondoz'???

Kama unawajua...unawajuaje???

Kama huwajui...kwann huwajui???

Mwalimu nakuuliza wewe
 
Back
Top Bottom