Niulize swali lolote la History au Kiswahili

1; Kwa kurejelea historia ya biashara ya utumwa na ukoloni africa, naomba unipe historia ya asili na chanzo cha hawa marastafarian

2; naomba uniambie, ni vita gani iliyowahi kupiganwa kwa muda mfupi kuliko zote? Ilichukua muda gani kuisha? Ilisababishwa na nini?
 
Samahani kwa kudandia
naomba kujibu swali la pili

Kumbukumbu zangu znaniambia vita fupi ilikuwa inaitwa Alhamis iliyopiganwa ndani ya dakika 45 kisiwani Unguja
 
MAME BANTU NI AKINA NANI? WANAMCHANGO WOWOTE KATIKA LIGHA HII YA KISWAHILI?
 
Ilikuwa mwaka gani Babu wa Loliondo alipokuwa anatoa na kugawa dozi kwa wagonjwa...? Je unaweza kumkumbuka mmoja ama wawili miingoni mwa waliopona.. .? Na je ni hatua zipi zilichukuliwa juu ya wale waliokufa wakielekea Samunge...? Naomba majibu..
 
Back
Top Bottom