CardoVerli
Member
- May 15, 2026
- 17
- 20
Watu wengi wanadhani ukiwa tu website online basi biashara yako iko salama mtandaoni . Ukweli uliopo ni kwamba zaidi ya 70% ya sites za biashara ndogo na za kati zimejengwa kienyeji sana kiasi kwamba zinawapotezea wateja kila siku na kuweka data zao hatarini bila wao kujua.
Hapa kuna siri tatu za kiufundi ambazo wengi hawazijui au wanajua ila hawazingatii
1.Plugins Nyingi (Plugin Bloat Trap): owners wengi wa website huweka plugins za bure 30 hadi 50 wakidhani ndiyo urembo au usalama. Ukweli ni kwamba, kila plugin ya ziada ni mlango wa nyuma (backdoor) wa kuingiza wadukuzi pale isiposasishwa kwa wakati.
2.API endpoints Zinazovuja Data: Tovuti nyingi zina fomu za kuweka namba za simu na email ambazo hazina ulinzi wa backend (rate limiting). Roboti za matapeli (spam bots) zinaweza kuzitumia kuvuna namba za wateja wako wote au kutuma taarifa za uongo kwa jina la kampuni yako.
3. Exposed SECRET Credentials : Mara nyingi developer asiyemakini anaweza kuacha funguo za siri za mfumo (API keys) mahali ambapo mtu yeyote anaweza kuziona akibonyeza tu View Page Source kwenye kivinjari chake au hacker MJANJA ataziona
Kwahyo kama una website ambayo serios unahitaji audition yes niko hapa
✅Mimi sifanyi scans za kipuuzi za automated scanners napitia tovuti kwa jicho la kiufundi kuona pale ambapo website yako ina madhaifu au holes
Unataka kujua kama tovuti yako iko salama ? Nipigie au nitumie ujumbe moja kwa moja WhatsApp au telegram nikufanyie ukaguzi wa haraka aka mini audit na nikupe ripoti ya kile kilichojificha nyuma ya pazia.
💻 Na kama unahitaji kujengewa website mpya ya kisasa, nyepesi inayofunguka kwa sekunde moja bila usumbufu wa plugins za kijinga, milango iko wazi—karibu tuongee biashara
natengeneza website ambazo hadi medium projects lakin sio heavy systems kama mifumo ya bank .nk
📞 Wasiliana nami sasa hivi kupitia Inbox/DM tuanze kazi.
kama una swali lolote karibu nitalijibu hapa hapa
WhatsApp +255750738054 telegram cardoverli