Niulize swali lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro

Niulize swali lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro

Nikiwa kama mzawa mwenye ndoto ya kuupanda mlima ni gharama kiasi gani inahitajika ili niweze kutimiza ndoto zangu. gharama za kukodisha (full gears ie viatu nguo nk) gharama za vyakula, porter na guide.
Mkuu gharama za kupanda mlima Kilimanjaro kwa wazawa ni ndogo sana. Utalipa 11,800 kwa siku.
Idadi ya siku itategemea route utakayotumia.
Marangu route ndiyo ya siku chache zaidi (5).
Ukiwa na 70,000/= unaweza kupata vifaa vyote kabisa vya kupandia.
Swala la Guide na Porters ndiyo litakuwa gumu kidogo kama utakuwa peke yako.
Unaweza kujiunga na wenzako ili kuminimize cost.
Natumia muda upi kutoka chini hadi kwenye top of the mountain na kurudi?

Vyakula gani nahitaji kuwa navyo? gharama halisi na watu wakunipandisha

Na vipi kuhusu Kibo na mawenzi ipi inaanza na ipi ya mwisho?

Je kufika kileleni kuna nadharia eti ni bahati kufika hapo?

na nikikaa huko takribani miezi 3 mfululizo naweza patwa na nini?

Naweza ruka na parachuti kutoka juu hadi chini na nitatumia eneo gani
Mkuu muda utakaotumia unategemea sana njia utakayotumia.
Unaweza kupitia
Machame siku 6 au 7.
Marangu siku 5 au 6.
Rongai hivyo hivyo.
Lemosho 6 au 8.
Umbwe 6 au 5.

Kuna route za mzunguko hizi zinachukua mpaka siku 10.

Swala la chakula ni cha kawaida tu.
Vile vile unaweza kuwa na special diet....mpishi atakupangia vyema.
 
Hapana ukweli ila kuna gesi ambayo ni sulphur, na si nzuri kwa binadamu kuusu usumaku ni uongo na hakuna ndege ilyo vutwa Bali ilipoteza uelekeo
Kilimanjaro haitoi sulphur mkuu.
Ni Carbon gas. Sio nzuri pia.
 
nataka kujua umbali urefu wa kutoka kwenye mageti ya kupandia mpaka kileleni maana hizo mita 5896 ni umbali toka usawa wa bahari
 
Mkuu gharama za kupanda mlima Kilimanjaro kwa wazawa ni ndogo sana. Utalipa 11,800 kwa siku.
Idadi ya siku itategemea route utakayotumia.
Marangu route ndiyo ya siku chache zaidi (5).
Ukiwa na 70,000/= unaweza kupata vifaa vyote kabisa vya kupandia.
Swala la Guide na Porters ndiyo litakuwa gumu kidogo kama utakuwa peke yako.
Unaweza kujiunga na wenzako ili kuminimize cost.

Mkuu muda utakaotumia unategemea sana njia utakayotumia.
Unaweza kupitia
Machame siku 6 au 7.
Marangu siku 5 au 6.
Rongai hivyo hivyo.
Lemosho 6 au 8.
Umbwe 6 au 5.

Kuna route za mzunguko hizi zinachukua mpaka siku 10.

Swala la chakula ni cha kawaida tu.
Vile vile unaweza kuwa na special diet....mpishi atakupangia vyema.
Hapo sawa ila pitia na maswali mengine hujajibu alafu kwangu ndo ya muhimu
 
Kuusu ndege ipo lakini si mawenzi Ila ipo kibo na ilipoteza uelekeo na utaiona endapo utapandia njia ya rongai
 
Pia sulphur ipo ndo maana utakiwi kwenda creta peka yako na pia hurusiwi kuka zaid ya dakika 3
 
Mvutano upo, hapa ni swala la altitude.
Sio Kilimanjaro tu, ndege itashake itakapokuwa inavuka milima
Sababu nini? Deflection ya upepo kutokana na mlima hivyo upepo ukigonga mlima hulazimishwa upae juu na kukutana na ndege na kuipa dhoruba au ni usumaku?
 
Aisee nashukuru sana kwa kutuelimisha, mm nina swali moja hivi huwa wanapanda mpaka pale kwenye theluji, unaweza mpaka kuigusa na je pale juu kabisa kuna shimo ambalo unaweza kuchungulia na kama ukichunguli humo ndani unaona nn ni hayo tuu.
 
f463b404013822a3722a8ab8ef9300fd.jpg
 
Lauwo aliishi sana haina uhakika alizaliwa lini ila Walipokuja wajukuu za Hans Meyer wakasema wangeomba wawaone wajukuu wa Lauwo wakaambiwa Mzee yupo pia wakashangaaa sana hawakuamini
Huyu mzee aliishi miaka mingi sana
 
Back
Top Bottom