Mfano nikitaka kupanda gharama za chini kabisa hua zinakua kipindi gani? Kipindi gani ni cha hatari zaidi? Kuna favor yoyote atakayoipata mzawa kuupanda mlima huu katika gharama?Sina udhibitisho juu ya hili.
Mwana Afrika Mashariki yoyote kupanda kwa siku ndani ya hifadhi ni Tsh. 11,800 kodi inclusive.Mfano nikitaka kupanda gharama za chini kabisa hua zinakua kipindi gani? Kipindi gani ni cha hatari zaidi? Kuna favor yoyote atakayoipata mzawa kuupanda mlima huu katika gharama?
Shira Plateau, Montane forest, mawenzi & kibo peaksVolcano
Ongezeko la joto ndiyo sababu ya kupungua kwa theluji.Inaonekana theluji ya mlima Kilimanjaro inapungua kwa kiasi kikubwa Sana. Chanzo chake mini? Na njia gani zitumike kuzibiti hali hii?
Ndio naziombaNi nyingi sana
''Jiwe la kubusu'' Hatari hiloNaskia ukipanda kuna jiwe la kukumbatia ili uvuke linaitwaje?
na process za kujisaidia ni zipi?? yani kuna sehemu maalum katika hzo peaks au aje??Mwana Afrika Mashariki yoyote kupanda kwa siku ndani ya hifadhi ni Tsh. 11,800 kodi inclusive.
Idadi ya siku itategemea route unayotumia.
Utalipa rescue fee...
Utalipia gaidi, mpishi na mgumu.
Hakuna sehemu maalum, ni pembeni mwa miamba tu. Isipokua kama utakua umelala crater utahitaji kuwa na mobile toiletna process za kujisaidia ni zipi?? yani kuna sehemu maalum katika hzo peaks au aje??
WW MUHONGO SANAKwenye huu mlima hakuna Historia ya huyo Rebman...
Walioweka historia hapa ni wazungu kama kina Hansmire na mweusi wa Kwanza kumuongoza huyu jamaa yeye aliitwa Mzee Lauwo.
Kilimanjaro inatokana na neno Kilima cheupe(kyaro)
Ndege inaonekana kilele cha mawenziHakuna ndege inayoonekana