Kwa kifupi mtoa Mada huelewi chochote kuhusu mlima Kilimanjaro,yawezekana ukawa unafanya shughuli zako za kukuingizia kipato maeneo hayo lakini usiwe na ufahamu na maeneo hayo.
Unaulizwa maswali ya msingi wewe unajibu kama umelazimishwa wakati ni wewe ndiye uliyesema watu wakuulize maswali.
Kama hujui kitu siyo lazima useme unajua,kama ulikuwa na nia watu wajue na wewe upo Kilimanjaro basi nia yako imefanikiwa lakini kuhusu maswali umeshindwa kabisa kuyajibu na hakuna hujualo kuhusu huo mlima,ni vema ukakaa kimya uendelee kubeba mabegi ya wageni kupandisha na kushusha mlimani.
Mtu anayeweza kuwa na historia iliyokamilika kuhusu huo mlima ni TOUR GUIDE ila wewe mpagazi(Mgumu) hakuna unachokijua zaidi ya ujuaji.