Niulize swali lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro

Sande M

Member
Feb 6, 2017
67
40
Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu kuliko yote Africa.
Ni miongoni mwa volcano kubwa zaidi Duniani.
It is the highest free standing mountain in the World.
Ni moja ya maajabu ya Afrika.

Huu Mlima unapandika kipindi chochote kwa mwaka mzima.

Niulize chochote kuhusu huu mlima na upandaji wake....
 
Kuna myth na misconception nyingi kuhusu ile corner mpakani inayoifanya mlima uwe upande za Tz...... Je unaweza kunipa tips zozote kuhusu kona hiyo???
Hii itakuwa ni mipango ya awali ya Wajerumani kuhakikisha mlima unakuwa kwenye Himaya yao Tanganyika kipindi hicho
 
Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu kuliko yote Africa.
Ni miongoni mwa volcano kubwa zaidi Duniani.
It is the highest free standing mountain in the World.
Ni moja ya maajabu ya Afrika.

Huu Mlima unapandika kipindi chochote kwa mwaka mzima.

Niulize chochote kuhusu huu mlima na upandaji wake....
Ndani ya huo mlima kuna mbuga.....je kuna aina ngapi za wanyama wanaopatikana ndani ya hifadhi ya KINAPA.

Swali la nyongeza.....kwenye huu mlima huwa maji yanatililika na wakazi wa maeneo husika wanayatumia, je ni lita ngapi huwa zinatililika kutoka mlimani kwa mwaka
 
Ha ha ha ha ha ha jamaa kayeya .......ameenda kugoogle kuwauliza wachagga wanaopanda mlima daily
 
Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu kuliko yote Africa.
Ni miongoni mwa volcano kubwa zaidi Duniani.
It is the highest free standing mountain in the World.
Ni moja ya maajabu ya Afrika.

Huu Mlima unapandika kipindi chochote kwa mwaka mzima.

Niulize chochote kuhusu huu mlima na upandaji wake....
Nasikia kuna shimo moja kuubwa linapita chini kwa chini linaenda kutokea mapango ya amboni Tanga na kuna nyoka mkuubwa huwa anaonekana kwa nadra sana pana ukweli hapo?
 
Hii itakuwa ni mipango ya awali ya Wajerumani kuhakikisha mlima unakuwa kwenye Himaya yao Tanganyika kipindi hicho
Pale kwenye kilele cha mlima nasikia kuna mzungu alienda kufanya uchunguzi ndege ikavutwa mpaka leo ipo pale na huwa nasikia ndege zikipita hazina budi kuuzunguka zikipita katikati kuna nguvu ya uvutano kama sumaku zinadondoka pana ukweli hapo
 
Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu kuliko yote Africa.
Ni miongoni mwa volcano kubwa zaidi Duniani.
It is the highest free standing mountain in the World.
Ni moja ya maajabu ya Afrika.

Huu Mlima unapandika kipindi chochote kwa mwaka mzima.

Niulize chochote kuhusu huu mlima na upandaji wake....
Je kuna uwezekano wa kupanda mlima Kilimanjaro kwa kupitia Kilema?
 
Kwa nini ndege(aeroplane )hazipiti karibu sana ya kilele cha mlima?

Kuna tetesi eti kuna mivutano inayoathiri ndege
 
Ndani ya huo mlima kuna mbuga.....je kuna aina ngapi za wanyama wanaopatikana ndani ya hifadhi ya KINAPA.

Swali la nyongeza.....kwenye huu mlima huwa maji yanatililika na wakazi wa maeneo husika wanayatumia, je ni lita ngapi huwa zinatililika kutoka mlimani kwa mwaka
Mkuu nitakujibu.
Hifadhi ya mlima ina wanyama wachache kuizunguka mbuga maeneo machache ya Rongai na kwa Upande wa Londorosi.
Mlima umezungukwa na msitu pia, ndani ya hii misitu kuna wanyama kama vile Ngedere, nyani, kima na mbega wengi kidogo.

Huu mlima una hali nyingi sana za hewa kulingana na altitude.
Maji yanapatikana kwenye chemichemi nyingi zinazouzunguka huu mlima.
Ndiyo chanzo cha mito mingi ndani ya mkoa wa Kilimanjaro.

Mkuu kuhusu ni maji kiasi gani kwa kweli hapo siwezi jua kwa sababu sio rahisi kuyapima.
 
Nasikia kuna shimo moja kuubwa linapita chini kwa chini linaenda kutokea mapango ya amboni Tanga na kuna nyoka mkuubwa huwa anaonekana kwa nadra sana pana ukweli hapo?
Hapa ushahidi wowote juu ya hili.
 
Pale kwenye kilele cha mlima nasikia kuna mzungu alienda kufanya uchunguzi ndege ikavutwa mpaka leo ipo pale na huwa nasikia ndege zikipita hazina budi kuuzunguka zikipita katikati kuna nguvu ya uvutano kama sumaku zinadondoka pana ukweli hapo
Hakuna ndege inayoonekana
 
Je kuna uwezekano wa kupanda mlima Kilimanjaro kwa kupitia Kilema?
Hakuna route yakupandia inayopitia Kilema.
Huwa inatumika kushusha wageni waliozidiwa kutokea Kituo cha Horombo, ambacho ndiyo kituo cha pili kwa njia ya Marangu.
 
Kwa nini ndege(aeroplane )hazipiti karibu sana ya kilele cha mlima?

Kuna tetesi eti kuna mivutano inayoathiri ndege
Mvutano upo, hapa ni swala la altitude.
Sio Kilimanjaro tu, ndege itashake itakapokuwa inavuka milima
 
Back
Top Bottom