Mtaalam yukwapi ajibu hoja, kayataka mwenye we kujitia mjuajiNdani ya huo mlima kuna mbuga.....je kuna aina ngapi za wanyama wanaopatikana ndani ya hifadhi ya KINAPA.
Swali la nyongeza.....kwenye huu mlima huwa maji yanatililika na wakazi wa maeneo husika wanayatumia, je ni lita ngapi huwa zinatililika kutoka mlimani kwa mwaka
Njoo nijibie hapaNaskia ukipanda kuna jiwe la kukumbatia ili uvuke linaitwaje?
Na hapa piana process za kujisaidia ni zipi?? yani kuna sehemu maalum katika hzo peaks au aje??
Jiwe la kubusu linapatikana unapopanda sehemu inayoitwa breakfast unapotokea Barranco kuelekea Karanga valley. Panaitwa breakfast sababu ni sehemu yenye mwinuko ambapo ndipo unapopapanda baada tu yakumaliza kifungua kinywaNaskia ukipanda kuna jiwe la kukumbatia ili uvuke linaitwaje?
Rebman ndiye Mzungu wa kwanza kuuripoti mlima huko Ulaya kwa hiyo kwa Wazungu ni mgunduziInasemekana mlima huu ulivumbuliwa kwa Mara ya kwanza na mzungu,jina REBMAN. Je kuna ukweli katika hili? Kama ni kweli inamaana wenyeji wa eneo hilo hawakuutambua mlima huo kipindi cha nyuma?
Mkuu naomba asili/chimbuko la neno Kilimanjaro
Kyaro ni Nyeupe kwa lugha gani?Kwenye huu mlima hakuna Historia ya huyo Rebman...
Walioweka historia hapa ni wazungu kama kina Hansmire na mweusi wa Kwanza kumuongoza huyu jamaa yeye aliitwa Mzee Lauwo.
Kilimanjaro inatokana na neno Kilima cheupe(kyaro)
Nlishapanda kupitia hiyo njia ila ni ndefu sana. Unatokea horombo huts moja kwa moja?Je kuna uwezekano wa kupanda mlima Kilimanjaro kwa kupitia Kilema?
HakunaKilimo kipi kinafaa mliman. Kilimo kinaruhusiwa
Usisahau wale fisi wanaokujaga pale horombo usikuMkuu nitakujibu.
Hifadhi ya mlima ina wanyama wachache kuizunguka mbuga maeneo machache ya Rongai na kwa Upande wa Londorosi.
Mlima umezungukwa na msitu pia, ndani ya hii misitu kuna wanyama kama vile Ngedere, nyani, kima na mbega wengi kidogo.
Huu mlima una hali nyingi sana za hewa kulingana na altitude.
Maji yanapatikana kwenye chemichemi nyingi zinazouzunguka huu mlima.
Ndiyo chanzo cha mito mingi ndani ya mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu kuhusu ni maji kiasi gani kwa kweli hapo siwezi jua kwa sababu sio rahisi kuyapima.
Wht u mean it is the highest free standing mountain in the world?while we know the is number one and Kilimanjaro is the second highestKilimanjaro ndiyo mlima mrefu kuliko yote Africa.
Ni miongoni mwa volcano kubwa zaidi Duniani.
It is the highest free standing mountain in the World.
Ni moja ya maajabu ya Afrika.
Huu Mlima unapandika kipindi chochote kwa mwaka mzima.
Niulize chochote kuhusu huu mlima na upandaji wake....
Swali zuri kabisa kabisa na tena swali la nyongeza ni katika kupandwa kote mlima una ndama wangapi au umetaga mayai mangapi hadi leo na yako wapi au yametoroshwa kama faru john?!huo mlima tangu uanze kupandwa ni watu wa ngapi wameupanda
kabisa especially ukiwa unataks kukata gogona process za kujisaidia ni zipi?? yani kuna sehemu maalum katika hzo peaks au aje??
Kumbe huyu mtaalamu wetu anakurupuka aiseee.......hapa lazima arudishe ada yetu si kwa madesa pori hayaUmebugi: Kyaro ni safari kwa Kichaga
ha ha ha ha ha ha ha we mtoto ni mwehu......ha ha ha ha haJe inanibidi niwe na kadi ya chadema ili niruhusiwe kupaanda mlima huu?
Ohooooo......mtaalamu wetu jibu swali hili ha ha ha ha ha ha la si hivyo tunakutumbua kuwa unavyeti feki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kyaro ni Nyeupe kwa lugha gani?