Sande M
Senior Member
- Feb 6, 2017
- 122
- 95
- Thread starter
- #161
Wandajaji wanaokufa ni wachache sana, na hii hutokea kama mpandaji atazidiwa na ikosekane huduma kwa haraka, siwezi kukupa exact figure wanakufa wangapi...but ni wachache sana hasa wageni na wasaidia mizigo(wagumu).Je kwa takwimu wanakufa wapandaji wangapi kwa mwaka? Na je ni hatari kiasi gani kwa mtu wa kawaida (ambae si mwanamichezo) kujaribu kupanda? Kipindi gani cha mwaka ni sahihi kupanda na gharama za jumla zikoje kwa mtanzania ikijumuisha wasaidizi na kadhalika.
Hakuna hatari ya mtu wa kawaida kupanda mlima Kilimanjaro kama hauna matatizo yoyote yakifua na pumu, hata ukiwa na mafua huwezi kupanda.
Mlima Kilimanjaro unapandika throughout the year...ila December, November na kidogo January ni ngumu kidogo...hata February upepo hua ni changamoto.
Karibu Kilimanjaro mkuu