Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,823
naona mtaalamu kataja wanyama wala majani tu anaacha wala watu anampango wa kutoa wenzake kafara huyuUsisahau wale fisi wanaokujaga pale horombo usiku
naona mtaalamu kataja wanyama wala majani tu anaacha wala watu anampango wa kutoa wenzake kafara huyuUsisahau wale fisi wanaokujaga pale horombo usiku
ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23]Huu uzi inabidi watu wakiuliza wajibu wale wenye experience au ambao wamepanda au wanafanya kazi huko au wakiowai kufanya kazi naona ntia uzi anatuingiza sana chaka,mods badilini heading.
Nikiwa kama mzawa mwenye ndoto ya kuupanda mlima ni gharama kiasi gani inahitajika ili niweze kutimiza ndoto zangu. gharama za kukodisha (full gears ie viatu nguo nk) gharama za vyakula, porter na guide.Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu kuliko yote Africa.
Ni miongoni mwa volcano kubwa zaidi Duniani.
It is the highest free standing mountain in the World.
Ni moja ya maajabu ya Afrika.
Huu Mlima unapandika kipindi chochote kwa mwaka mzima.
Niulize chochote kuhusu huu mlima na upandaji wake....
kwanini likaitwa jiwe la kubusu na linahistoria ganiJiwe la kubusu linapatikana unapopanda sehemu inayoitwa breakfast unapotokea Barranco kuelekea Karanga valley. Panaitwa breakfast sababu ni sehemu yenye mwinuko ambapo ndipo unapopapanda baada tu yakumaliza kifungua kinywa
Da hiyo hata mi niliwai Kuiskia kipindi Niko mtotoPale kwenye kilele cha mlima nasikia kuna mzungu alienda kufanya uchunguzi ndege ikavutwa mpaka leo ipo pale na huwa nasikia ndege zikipita hazina budi kuuzunguka zikipita katikati kuna nguvu ya uvutano kama sumaku zinadondoka pana ukweli hapo
Kumbe kilema maana yk ni maua?!Kumsaidia tu Njia ya Kilema ( Maua) ipo ila inatumika kwa dharura tu
Swali zuriMlima Kilimanjaro nimoja yamilima yavolkano, VP upatikanaji wa armasi maana armasi pia hutokana na volkano
Hapana Maua ni jina la Njia ya KilemaKumbe kilema maana yk ni maua?!
ni wangapi kwa urefu Duniani?Kilimanjaro ndiyo mlima mrefu kuliko yote Africa.
Ni miongoni mwa volcano kubwa zaidi Duniani.
It is the highest free standing mountain in the World.
Ni moja ya maajabu ya Afrika.
Huu Mlima unapandika kipindi chochote kwa mwaka mzima.
Niulize chochote kuhusu huu mlima na upandaji wake....
Hapo mbona kashajibuNjoo nijibie hapa
Na hapa pia
Asante mkuuHapana Maua ni jina la Njia ya Kilema
KwambaHapo mbona kashajibu
Sande M ukubali ukatae kuna majibu umenichezea kombolela huku sikubaliani nayo kwa maana ya neno Kilimanjaro chanzo chake ni Kyalema kyaro na kuhusu hilo shimo lakutoka huko mpaka kwenye mapango ya amboni ni kweli lipo na inasemekena enzi hizo kuna mzungu alienda na mbwa wake kwenye mapango ya amboni akamtoroka mwishoe akaja onekana pande hizo za mlima kilimanjaroMillion of years
Hiyo ndege ipo mpaka leo kwenye.kilele hakuna mwenye uthubutu wakufika hilo eneoHakuna ndege inayoonekana
Tena safari ndefuUmebugi: Kyaro ni safari kwa Kichaga
Nothing like this.Sande M ukubali ukatae kuna majibu umenichezea kombolela huku sikubaliani nayo kwa maana ya neno Kilimanjaro chanzo chake ni Kyalema kyaro na kuhusu hilo shimo lakutoka huko mpaka kwenye mapango ya amboni ni kweli lipo na inasemekena enzi hizo kuna mzungu alienda na mbwa wake kwenye mapango ya amboni akamtoroka mwishoe akaja onekana pande hizo za mlima kilimanjaro