Niulize swali lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro

Niulize swali lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro

Unaweza kuniambia kabla ya volcano kujikusanya hapo,kulikuwa na shughuli gani za uchumi? Na lini volcano hiyo ililipuka? Kwanini barafu inazidi kupungua kwenye kilele cha mlima kmjro?
 
Huyu mbona haji kujibu maswali yetu au yuko huko mlimani anachunguza hayo maswali yetu ukirudi naomba unijibu yale maswali yangu, au kama kuna mdau anaweza kunijibu basi rukhusa.
 
Hakuna route yakupandia inayopitia Kilema.
Huwa inatumika kushusha wageni waliozidiwa kutokea Kituo cha Horombo, ambacho ndiyo kituo cha pili kwa njia ya Marangu.
Huwa inatokezea Kilema sehemu gani? Maua ama? Je kwa nn itumike tu kushusha wageni wanaozidiwa?
 
Huwa inatokezea Kilema sehemu gani? Maua ama? Je kwa nn itumike tu kushusha wageni wanaozidiwa?
naona mtoa mada hayupo karibu.
Hiyo njia inapitia pale Maua, ni njia rahisi kufika horombo.
Inatumika kwa emergency.
 
Sande M kakosea. Huko Kilemashyaaro ndio kwetu hasa. Shyaaro kwa lugha ya Kichaga ni Safari. Kilema ni kitu kilichoshindikana. Mlima uliitwa Kilemashyaaro maana safari za mababu wa Kichaga kuupanda zilishindikana kwa sababu ya baridi kali na enzi hizo hapakuwepo nguo za kuzuia baridi. Katika kutamka Kilemashyaaro wazungu wakajikuta wanatamka Kilima-Njyaro. Hicho ndicho chanzo halisi cha hilo jina.
 
Lakini sivyo kilivyoandikwa pale Headquarters.
kwani mtoa mada ameandika nini?
sema tuwasaidie
 
Sande M kakosea. Huko Kilemashyaaro ndio kwetu hasa. Shyaaro kwa lugha ya Kichaga ni Safari. Kilema ni kitu kilichoshindikana. Mlima uliitwa Kilemashyaaro maana safari za mababu wa Kichaga kuupanda zilishindikana kwa sababu ya baridi kali na enzi hizo hapakuwepo nguo za kuzuia baridi. Katika kutamka Kilemashyaaro wazungu wakajikuta wanatamka Kilima-Njyaro. Hicho ndicho chanzo halisi cha hilo jina.
Katika lugha ya kichaga au za kibantu haiwezekani iwe Kilema ( iliyoshindikana) halafu ifuate Kyaro (safari) ingekuwa Kyaro kilelema hapo sawa
Kwahiyo hilo haliji kaka
 
Nani aliyeugundua mlima kilimanjaro???? [emoji23][emoji23]
 
Kuna bendera ilipandishwa mlima Mlima Kilimanjaro enzi hizo je hiyo bendera ipo na ni nani aliyeipandisha hiyo bendera?

Mlima Kilimanjaro licha ya kuwa sehemu ya utalii je kuna vituo vya usalama ndani ya mlima huo kama kutatokea shambulizi lolote mfano watu kutekwa, kuugua n.k?

Nasikia kuna watu walipanda mlima huo na kufariki kabla wahawafika kilele je kuna nini kinaweza kuwa chanzo cha vifo pindi upandapo mlima huo.

Ni nani aliwahi kupanda Mlima huo akiwa na umri mdogo kuliko wote tangu hapo awali na ni nani alipanda mlima huo akiwa na umri mkubwa kuliko wote.

Mwaka 2014 Luis Figo na wachezaji wenzake wa Real madrid waliutembelea mlima Kilimanjaro je waliofanikiwa kuupanda kati yao walikuwa wangapi?

Waafirka waana amini katika ushirikina kuna vitu gani vya kishirikina ambavyo vipo kwenye mlima Kilimanjaro?

Ni kiongozi gani wa nchi hii aliwahi kupanda mlima huo (Marais)

Nasikia kuwa mlima Kilimanjaro ni moja ya sehemu za utalii zinazopata pesa kubwa sana je nani anachukua pesa za mlima huo ni manispaa ya mji wa Moshi au TANAPA?

Unaweza kupanda mlima huo kwa kukimbia au ni sharti uende tararibu?

Milima ni sehemu zenye makazi ya wanyama je kwenye mlima Kilimanjaro kuna wanyama Gani hatari wa maisha ya watalii?.

Ni watu wangapi wamewahi kupotea na kutoonekana walipopanda mlima Kilimanjaro?

Wanawake wajawazito wanaruhusiwa kupanda mlima Kilimanjaro?

Kwa kuwa kuna njia mbalimbali za kufika kilele je kuna njia inayoweza kuruhusu mtu kwenda na pikipiki?

Je ni ruhusa kufanya mapenzi ukiwa safarini wakati unapanda mlima Kilimanjari?

Ukionekana kuwa huwezi kupanda mlima utarudishwa au utawasubiri wenzako wapande kisha wakirudi urudi nao chini?

Je maharusi wana ruhusa ya kupanda mlima huo na kwenda kupiga picha huko juu?

Uwapo mlimani unaruhusiwa kuoga ?

Kuna maeneo ndani ya mlima Kilimanjaro ni hatari kama yapo yana hatari gani?

Ukipanda mlima Kilimanjaro unapewa nini tofauti na vifaa vya kupandia mlima?

Je unaweza kuambatana na mnyama wa kuvugwa wakati unapanda mlima Kilimanjaro?

Ni lazima uende na nguo za kujikinga baridi ukiwa unapanda mlima Kilimanjaro?

Je mliwahi kushuhudia ugomvi wa watalii mlimani na ugomvi unaruhusiwa?

Ukisahau kitu mlimani kuna tararibu gani za kukifata? Utaenda mwenyewe au hakuna kurudi tena?

Kiongozi gani mkubwa duniani aliwahi kupanda Mlima Kilimanjaro na alimaliza muda Gani ?

Ukijibu hayo maswali yote nitakuwa nimepanda mlima huo tayari.

Raphael wa Ureno.
 
Sande M kakosea. Huko Kilemashyaaro ndio kwetu hasa. Shyaaro kwa lugha ya Kichaga ni Safari. Kilema ni kitu kilichoshindikana. Mlima uliitwa Kilemashyaaro maana safari za mababu wa Kichaga kuupanda zilishindikana kwa sababu ya baridi kali na enzi hizo hapakuwepo nguo za kuzuia baridi. Katika kutamka Kilemashyaaro wazungu wakajikuta wanatamka Kilima-Njyaro. Hicho ndicho chanzo halisi cha hilo jina.
Nyie wote mmekosea iko hiv mlima kipindi volkano inalipuka mlima ulikuwa mdogo ss kipindi unalipuka ukawa unakuwa kwahiyo Wachaga wakawa wanasema kilima kyado yaani kilima kinakuwa ndipo jina likapatikana kama hamtaki acheni sitaki maswali.
 
Kilima ndio mlima kichaga ?
 
Ilikuaje mgunduzi wa mlima Kilimanjaro awe Dr Livingstone kutoka ulaya!!?...inamaana Wachaga miaka yote kuishi kwako Kilimanjaro hawakuuona!?
Nini maaana ya Ki-li-ma-nja-ro
 
Basi hakuna kitu kama hicho Kilima sio kichaga wala kipare wala kimasai
Ukibisha acha, sikulazimishi na nikuongezee na hii Wapare na Wachaga walikuwa wanapigana vita basi Wachaga wakawa wanaambizana (MPALE) maana yake mpasue ndio likawa Mpare upo na hapo au.....!!
 
Back
Top Bottom