Niulize swali lolote kuhusu Mlima Kilimanjaro

huo mlima tangu uanze kupandwa ni watu wa ngapi wameupanda
 
Physical features za huko ni zipi?
swali lako liko general sana.
Ila kuna features nyingi sana...
Nadhani kwa Tanzania ni sehemu nzuri sana ambayo wanafunzi wanaweza kujifunza vizuri sana.
Haswa kupitia njia ya Machame, Lomosho na Umbwe.
 
Inasemekana mlima huu ulivumbuliwa kwa Mara ya kwanza na mzungu,jina REBMAN. Je kuna ukweli katika hili? Kama ni kweli inamaana wenyeji wa eneo hilo hawakuutambua mlima huo kipindi cha nyuma?

Mkuu naomba asili/chimbuko la neno Kilimanjaro
 
Naongelea hifadhi ya mlima Kilimanjaro
 
Inasemekana mlima huu ulivumbuliwa kwa Mara ya kwanza na mzungu,jina REBMAN. Je kuna ukweli katika hili? Kama ni kweli inamaana wenyeji wa eneo hilo hawakuutambua mlima huo kipindi cha nyuma?

Mkuu naomba asili/chimbuko la neno Kilimanjaro
Kwenye huu mlima hakuna Historia ya huyo Rebman...

Walioweka historia hapa ni wazungu kama kina Hansmire na mweusi wa Kwanza kumuongoza huyu jamaa yeye aliitwa Mzee Lauwo.

Kilimanjaro inatokana na neno Kilima cheupe(kyaro)
 
Mbona watu hamuulizi maswali ya Msingi?
 
Kwenye huu mlima hakuna Historia ya huyo Rebman...

Walioweka historia hapa ni wazungu kama kina Hansmire na mweusi wa Kwanza kumuongoza huyu jamaa yeye aliitwa Mzee Lauwo.

Kilimanjaro inatokana na neno Kilima cheupe(kyaro)
Inamaana wazungu walishindwa kutamka neno Kilima kyaro.. Wakatamka Kilimanjaro?
 
Back
Top Bottom