MalcolM XII
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,262
- 14,283
Yah mkuu ziliuma sana..Mkuu nlikitamani kifo kwa hali ile..nlidhani nimeparalyse..
Hutakiwi kupuuzia kuhusu ugonjwa wa arthritis pia..
1. Jinsia gani?
2. Shambulio limetokea muda gani (asubuhi/mchana/jioni)?
3. Ulitumia dawa yeyote ya kutuliza maumivu kabla ya kupata nafuu hiyo siku ya 3?
4. Taja viungo vilivyohusika kwenye shambulio hilo.
5. Ulipata ugumu wowote wakati wa kuzungusha viungo?
6. Pingili za mgongo nazo zilihusika?
Hebu nijibu maswali hayo machache tupate mwongozo mkuu.