Niulize swali lolote kuhusu Anatomy

Mkuu sijui ni nne ya mada au la..nina gonjwa lilinipata sijajua mpk leo ni ni ugonjwa gn..NILIUMWA SÌKU 2 MFULULIZO ,JOINT ZOTE ZA MWILI WANGU ZILIFAIL KUFUNCTION..KUTWA NIPO KITANDANI NIMELALA CHALI..ILA SIKU YA TATU NIKAWA SAWA..Unahisi ni nini mkuu?

Joints zilikuwa zinauma?
 
Yah mkuu ziliuma sana..Mkuu nlikitamani kifo kwa hali ile..nlidhani nimeparalyse..

Hutakiwi kupuuzia kuhusu ugonjwa wa arthritis pia..

1. Jinsia gani?

2. Shambulio limetokea muda gani (asubuhi/mchana/jioni)?

3. Ulitumia dawa yeyote ya kutuliza maumivu kabla ya kupata nafuu hiyo siku ya 3?

4. Taja viungo vilivyohusika kwenye shambulio hilo.

5. Ulipata ugumu wowote wakati wa kuzungusha viungo?

6. Pingili za mgongo nazo zilihusika?

Hebu nijibu maswali hayo machache tupate mwongozo mkuu.
 
jinsia ME..iko hivi sikufanya mazoezi ya nguvu muda mrefu..Jioni nikaenda Gym..tukapigishwa SQUATS NYINGI SANA MKUU NA KICHURACHURA..Mazoez yalipoisha on my way home nikaanguka ghafla..sikuweza kutembea nkajikongoja mpk ndani..ndo kuanzia hapo sikuamka mpk siku ya 3..Na nilichomwa sindano ya DICLOFENAC ndo nikawa sawa..MKUU I was unable to move any part of my body..mpaka kukojoa,nlikua nashikiwa Ki.dyudy.u..sitoisahau ile hali na sijui ni nini..
 
ilikua ni 2014..na ilinitokea mara 2 ile hali..Haijajirudia tena mkuu mpk leo.
 
jinsia ME..iko hivi sikufanya mazoezi ya nguvu muda mrefu..Jioni nikaenda Gym..tukapigishwa SQUATS NYINGI SANA MKUU NA KICHURACHURA..Mazoez yalipoisha on my way home nikaanguka ghafla..sikuweza kutembea nkajikongoja mpk ndani..ndo kuanzia hapo sikuamka mpk siku ya 3..Na nilichomwa sindano ya DICLOFENAC ndo nikawa sawa..MKUU I was unable to move any part of my body..mpaka kukojoa,nlikua nashikiwa Ki.dyudy.u..sitoisahau ile hali na sijui ni nini..

Alright. Kwa hapo siwezi kusema kama ni arthritis.
Ila ina kawaida ya kufanya recurrence (kujirudia).
Kitendo cha kutumia pain killer kama hiyo Diclofenac kinakupa relief ya muda mfupi tu kama ugonjwa kweli upo, shambulizi litarudiwa.

Kwa sasa relax, inawezekana haukuwa na tatizo kubwa.

Inawezekana ni kwa sababu ya mazoezi makali uliyoyafanya, ukapata upungufu wa potassium au calcium kutokana na ku sweat sana, ambapo hali zote hizo zinapelekea mwili kuchoka ikiambatana na maumivu ya nyama na mifupa.
 
Asante Sana Mkuu..
 
Ni kweli kabisa
 
Hivi kumbe inawe,ekana kutoka jasho jingi sana wakati wa mazoeI sio nzuri kiafya ?
 
Ni vizuri utoke jasho kwa sababu, unapofanya mazoezi unausaidia mwili wako kukamua mafuta yaliyolundikana chini ya ngozi.
Jambo litakalokusaidia uondoke kwenye hatari ya kupata magonjwa mengi ikiwemo magonjwa ya moyo.

Shida inakuja vipi sasa,mafuta hayapotei peke yake. Unapoteza na vyengine kama maji, nguvu na madini muhimu mwilini. Lakini upotevu wa madini muhimu kama calcium, potassium, phosphorus, sodium, n.k. ni mdogo sana ukilinganisha na kiwango cha maji na mafuta.
Hivyo mwili utaweza kuvirudishia kama ulikuwa unakula vizuri.

Otherwise ndio zinatokea shida kama hizo. Kwa sababu unahitaji calcium na potassium kwenye misuli kusaidia movements, kwenye mifupa, kwenye mfumo wa fahamu, n.k.

Assume una upungufu wa hivyo vitu.. how do you expect your body to function properly!
 
Basal Ganglia
1. Striatum=Caudate nucleus+putamen
2.Globus pallidus
3.substantia nigra( black substance)
4.Subthalamic nucleus

Is amygdala part of the Basal ganglia???

images%20(3).jpg
 
Parts of the brain

1.Forebrain
2.Mid brain
3.Hind brain

1. Fore brin
-cerebrum( cortex)
-Limbic system
-Thalamus
-Hypothalamus
-Penial grand

2. Mid brain
-Colliculi- superior and inferior
-Tegmentum
-Cerebral penduncle

3. Hind brain
-Pons
-Medula oblongata
-Cerebellum

Basically brain stem =mid brain+hind brain
 
Limbic system -the part of the brain involved in our behavioural and emotional responses
images%20(8).jpg
 
Back
Top Bottom