Jibu ni No.
Mungu kakuumba wewe huwe ni Divice inayojiongoza,
Kakuwekea Software yenye kila kitu kwenye Disc(External) inayojitegemea iliyosheheni kila Aina ya data,
mwisho kabisa kakuwekea na limit ya kuchagua ufanye chochote unachokihitaji kwa Faida zako na zake,
Shetani yeye ni kama Virus aliyekuja kuiharibu Disc(External) yako ili ifanye kazi tofauti na matakwa ya muumbaji "Mungu",
Lakini pia "Mungu" katika uumbaji wa hiyo Disc(External)Ali install na Ant vírus ya kukuwezesha wewe kumkataa Shetani(Virus),
Lakini mwisho unaposhindwa kuitumia vyema Ant Virus aliyokuwekea utaishia kutenda Dhambi(Kwa maana virus shetani ataaribu mpangilio wako),
Na Siku Ukifa Mungu Aliyekuumba Ataishia kuiformat(Kuiangamiza Disc "External" ) Motoni kwa kuwa tayari imeshakuwa infected na Virus wasije wakaamia kwenye Disc zingine (wale watenda Mema).
Hivyo basi Mungu Hajui Chochote kuhusu wewe alikuumba mkamilifu, na Mwisho kakupa chaguo,
Kakupa uhai uutunze na ndio maana ukijinyonga unakufa, ukinywa Sumu unakufa kwa sababu uhai wako uuuh Mikononi mwako,
Kutenda Dhambi na kutotenda ni Jukumu lako,
Yeye kaweka sheria tu na kuzisimamia ukizivunja siku ya Mwisho ni hukumu.
Cc Zero IQ
Sent using
Jamii Forums mobile app