Niulize swali ili nijipime kiakili (IQ Test)

Niulize swali ili nijipime kiakili (IQ Test)

Mungu anajua yote na anajua mwanzo na mwisho wangu wote.
Je anafahamu mm mwisho wangu nitakua maskini wa kupupa?
Je anafahamu kua mimi siku nikifa nitafikia motoni?
Kama jibu ni Yes. Je naweza kubadiri hayo matokeo ili nim-prove Mungu wrong kua alikua anajua sio kuhusu mm.

Kama jibu ni No. Je Mungu hajui lolote kuhusu mm?
 
Niulize swali lolote nitakujibu nataka nijipime IQ test yangu kama imepanda kidogo kupitia majibu nitakayotoa.

NB: Yasiwe ya hesabu, maswali yawe ya kufikiria zaidi either personal Question au kuhusu jamii.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Ufanye test na majibu unayo ?? Kweli bado ni zero IQ. Bado haijapanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom