Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Steven tufunge basi huu mjadala tuendelee na mabo mengine ya kujenga taifa letu
Tehe tehe tehe huyo amechezea moto sasa ameungua, amechezea wembe sasa umakata, tulimkataza hakutusikia ameona madhara yake oyooo yooo oohh (mimi naimba tu)
wimbo wa chit chat au upo kule introduction forum??
Huu wimbo ni wimbo mwanamuziki wa tanzania
mtunzi??
Banza stone generali
zanzibar ilikua nchi kwa hyo ikirudi kua nchi haina shida.
Ila wewe ulikua mwanamke unataka kua mwanamme haisaidii....
Dah! Kweli jf ni kiburudisho!
Mambo yanaendaje waungwana?
Mbele yenu ni Nakadori kutoka mkoa wa kilimanjaro, naomba uniulize chochote kuhusu mimi iwe kuhusu mapenzi, uchumi, elimu, na mengine yoote nami nitakujibu kwa ufasaha. Pia kama una ushauri wa kunipatia kulingana na nitakavyojieleza unakaribishwa.
Ombi; Ninaomba wana chit chat muanzishe huu utaratibu wa kufahamiana ili kutuweka karibu zaidi.
Karibuni kwa maswali.
Kadogoo umeolewa?
hahahaha. Una matatizo wewe. Si bure. Avatar, Jina, Threads, typing style vyote vya kike. Au una maungo yote?
Narudia tena mimi ni ME, Nicas ujue nakuheshimu sana, tenaa wewe ni rafiki yangu facebook.... may be nina hormone za kike lakini mimi ni ME tena rijali
Wanawake ni dada na mama zetu, si vibaya kuwa na hormone za kike chipolo