Niulize chochote

Basi, hadi hapa naonaa maswali yenu yameisha, kama lipo la zaidi mtanijulisha..natoka kwa muda eehh
Umeshawahi kuugua ukichaa??


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Umeshawahi kuugua ukichaa??


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

May be wewe ndio umewahi kuugua kichaa, utajiitaje paradiso wakati maisha unayoishi ni kama hell...hata uhakika wa kesho huna alafu unajiita paradiso!! lazima utakuwa na mushkel kwenye upstair department ya mwili wako
 
Why humuulizi kongosho? why only nakadori? Nicas Mtei ujue nakuheshimu sana tena sana, ohoo wewe using'ang'anie mie niwe KE wakati ni ME

hahahahaha. Kongosho amewah kuweka thread kama hzo zako?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…