Niulize chochote nitakujibu

Kuwepo milele coz maisha ni kupambana,na kama utapambana vizuri utafurahi kuwepo duniani,na kama hupambani ndo wazo la kutokuwepo duniani,linakuja,ndo wazo la kusema maisha hayana maana likuja kichwani
Katika kupambana kuna bahati mbaya. Hili unalionaje?
 
Niko tayari kukuoa ni hatua zipi nianze nazo ili mm na ww tuoane!!
 
Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi? Na ulijisikiaje ulipoingiziwa dudu kwa mara ya kwanza?
Mwisho, unajisikiaje unaposikia neno CCM?
 
Leo ni siku ya mapumziko ,sina kazi ya kufanya zaidi ya kupumzika home

Maswali yawe mafupi mafupi
Mbali ya mitandao ya simu, tala na branch ni app gani za ukweli zilizojitokeza kwa sasa kukopesha pesa na mikopo yao awachukui muda mrefu kukupatia?
 
Nimesoma uzi wako kuanzia comment ya kwanza hadi ya mwisho umeniweka kundi gani na kwanini?
 
duuh
 
Hivi nikitaka kuchemsha maji kwenye mfuko wa Plastiki nafanyaje?
 
Unadhani Jamiiforums watu wanafake kwa kiasi kikubwa au wanaweka uhalisia wao kwa kiasi kikubwa!
 
Ushawahi kudate na mtu uliyekutana nae social media?
 
taja mikoa mitano maskini zaidi Tanzania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…