Mwaka 1950 ulikuwa hauexperiece chochote.Kuwepo milele ila kwa sababu ya nature ya dunia itafika muda hatutakiwepo,tutapisha wengine aachukue nafasi
Moyo unadunda baada ya siku kadhaa,ndo maana nimesema ni mchakato mrefu wa kutosha,ila mchakato ukishakamilika ,wew niite sehemu yoyote muda wowote ambo nipo free nakuja,coz moyo umeisha dataNjoo basi nikudundishe moyo, si uko free leo? Nina uhakika moyo wako utadunda tu, unakunywa kinywaji gani nikuandalie.
Ahsante chiefPole sana
Mambo haya hutegemea akili yako inafikiria nini kwa asilimia kubwa,kama kati ya mawazo ya siku asilimia 85 unawaza mahusiano lazima ufikirie sex na isipokuwepo ndo mambo kama masturbation yanakuwepoKufanya Masturbation unapokuwa na hamu ya tendo la ndoa na hauna mwenza wa kukutimizia haja?
Kuwepo milele coz maisha ni kupambana,na kama utapambana vizuri utafurahi kuwepo duniani,na kama hupambani ndo wazo la kutokuwepo duniani,linakuja,ndo wazo la kusema maisha hayana maana likuja kichwaniMwaka 1950 ulikuwa hauexperiece chochote.
Mwaka huu wa 2019 umeexperience mengi.
Je, huoni haya maisha yakiendelea milele kuna wakati utatamani kufa kutokana na maisha yalivyo?
Tuchukulie umepewa zawadi ya kuchagua uishi hapa duniani milele ukiwa kama ulivyo na maisha yaendelee kama yalivyo ila uwe hutokufa milele au uchague kutokuwepo mahali popote wala bila kuhisi chochote, ungechagua nini?
Kwanini upendi ku cheatiwa huwa inakupunguzia nini, kama upendo, heshima na care mwanaume wako anakupatia?Nawahi kukata tamaa pale ninapoona mtu wangu ananicheat
Unakumbuka tulipo kutana na tukazungumza...??Napakumbuka mtaa mmoja pale manila Ufilipino
Watu tunatofautiana katika mapenzi,kuna wanaoona ni kawaida lakini binafsi nataka mwanaume awe wa kwangu tu,na si kushare,unajua kuna faida kubwa ya kuwa wawili kwenye mahusiano kuliko hasara kubwa kuwa na wengi kwenye mahusianoKwanini upendi ku cheatiwa huwa inakupunguzia nini, kama upendo, heshima na care mwanaume wako anakupatia?
Mbona wanawake wakislam wanauwezo wa kushare mume mmoja na wote wakaishi vizuri tu?
Hahaha unatumia devices tofauti...safiii hapo hawawezi hahahahahaHahahah ,haiwezi
Inategemeana na mchakato utakavyoanza
DoneNikumbushe
Kama umegundua mume wako wa ndoa na baba mtoto wako amekucheat, utachukua hatua gani?Watu tunatofautiana katika mapenzi,kuna wanaoona ni kawaida lakini binafsi nataka mwanaume awe wa kwangu tu,na si kushare,unajua kuna faida kubwa ya kuwa wawili kwenye mahusiano kuliko hasara kubwa kuwa na wengi kwenye mahusiano