Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,437
- 4,933
- Thread starter
-
- #161
25k hapa mwanjelwaMtu kasema aulizwe swali lolote atajibu na hakusema Kama aulizwe maswali yenye mchango kanisani ama msikitini.
Hivi bei ya simu ya ITel ni gani hapo ulipo?
Anastasia21 na wenzakeUnaweza kuwataja unaowajua wewe kuwa ni wadada halisi hapa jf?
Kivipi? wakati dhambi ilianzia mbinguni, na mbinguni hakuna mwanadamu?Hapana mwanadamu ndiye aliyeumba dhambi
Kuweka na haki na usawa(dini,ranging,uchumi), pia kuweka na maelewano ya kidiplomasia, uzalishaji wa silaha upunguzwe(maana unachochea vita), ushirikiano wa mataifa, kupunguza umaskini(kwa kutoa fursa mbalimbali) mwisho naweza kusema ElimuNini kifanyike ili amani itawale duniani?
Before, wakati wa Adam na hawa kulikuwa hakuna dhambi lakini baada ya shetani kumdanganya Hawa na kuvunja agizo la mwenyezi Mungu hapo ndio dhambi ilipo anzaKivipi? wakati dhambi ilianzia mbinguni, na mbinguni hakuna mwanadamu?
😂😂😂 maninaAzingatie maokoto
Anastasia21 na wenzake
Umeme wa REA haujafika kijijini kwenu?Kwa mfano nna generator 4 za kufua umeme
Nnataka generator zote ziungenishwe kwenye njia ya mkondo mmoja
Je vitu gani vyakuzingatia kabla ya kufanya hivyo.
Shukrani🙏🏻
Nitakujibu according to physics ingawa Mimi si mtaalam mkuu:Kwa mfano nna generator 4 za kufua umeme
Nnataka generator zote ziungenishwe kwenye njia ya mkondo mmoja
Je vitu gani vyakuzingatia kabla ya kufanya hivyo.
Shukrani🙏🏻
Waroma walikua na chuki kubwa na utawala wa kifalme .Kwa nini Julius Caesar alikataa kuwa mfalme wa Roma, licha ya kuwa na nguvu kubwa kisiasa?
OkWaroma walikua na chuki kubwa na utawala wa kifalme .
Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanav
Kwenye hili sakata la kuahirishwa kwa mechi ya YANGA na simba....kwa uelewa wako nani mwenye makosa?Karibu kwenye uzi huu! Una swali lolote kuhusu mada yoyote? Niulize papo hapo, nikujibu haraka iwezekanavyo.
Nimwage mboga?Sijawahi kulia na hakuna uthibitisho wowote ulioonyesha nililia nikiwa Sinza
MwagaNimwage mboga?
Kwa mujibu wa Kanuni ya 17(45) za Ligi Kuu Tanzania bara tim inayochexa ugenin ina haki ya kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi angalau mara moja kabla ya siku ya mechi katika muda unaotarajiwa wa mchezo husika. Ila kuzuiwa kwa Simba kufanya mazoezi hayo ni ukiukwaji wa kanuni hizo. Nakumbuk kutokana na tukio hili Simba ilitoa tamko la kutocheza mechi hiyo, ikilalamikia kuzuiwa kufanya mazoezi kama sababu kuu. Hatua hii ilisababisha bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) kuahirisha rasmi mchezo huo ili kupisha uchunguzi zaidi.Yanga
Kwenye hili sakata la kuahirishwa kwa mechi ya YANGA na simba....kwa uelewa wako nani mwenye makosa?
Hivi Kumbe nmekuuliza wewe jinsia yakoUmeuliza swali la jinsia yangu ndiomana nikaamua nikujibu, kuna mashaka??
Bei ya simu ungeingia kwenye website ya bidhaa husika..! Mi nipo shamba.