Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
9,199
14,698
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia.
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Watts na technology ndio vianaamua bei mkuu
Watts nyingi inakua na sound kubwa zaidi
Technology ni more option ya hiyo HT
Kwenye bei na uwezo tumchek [mention]Extrovert [/mention]
Nimekupata mkuu. Wakati Extrovert anakuja nisaidie kujua kama kuna subwoofer inayokaribia angalau kiuwezo/ubora na HT? ( subwoofer nimemaanisha hz brand za kichina)
 
Nimekupata mkuu. Wakati Extrovert anakuja nisaidie kujua kama kuna subwoofer inayokaribia angalau kiuwezo/ubora na HT? ( subwoofer nimemaanisha hz brand za kichina)

Hili nliwah kujibu huko juu kabisa
Mkuu HT na subwoofer vyote ni
Vifaa vya electonics
Zote ni amplifiers
Utofauti unakuja kwenye audio processing tu
HT zinatumia ic maalum yaku equalize signal
Ambayo inakua designed na wahusika wenyewe
Ila subwoofer hazina hi
Yess zipo subwoofer nyingine ziko powered vizuri
Mfano upate hiz za Samsung na moja ya sonny seapiano na kodjec pia
Na kuna Alliang nadhani zile!

Watu hawajatambua hili kua kitu kizuri ni kusikia mziki mkubwa bila ya kelele
Ikiwa subwoofer itakua well designed kwenye box
ikawa vyema kwenye freq determined
Nkuhakikishie kuna ht hazita tia maguu!
Ila nyingi zake subwoofer ni linear power supply wakati HT ni smps ambayo haina el-gapes
Hivyo ikiwa utapata subwoofer nzuri ambayo iko well kwenye sector hizo basi hta HT zinakaa tena vizuri tu

Sababu zote ni busness na wengine wako seriously na bland zao
 
Nimeipenda aya ya 2 ila sijaelewa vema. Unaweza kunielekeza namna ya kufanya ukaguzi bora nipate kilicho Bora?
 
Nimeipenda aya ya 2 ila sijaelewa vema. Unaweza kunielekeza namna ya kufanya ukaguzi bora nipate kilicho Bora?

Mkuu kusema uifungue ndani ikiwa dukani uone kama box iko well tuned ni uwongo
Thus why nka conclude kwa kutaja tu aina ya subwoofer ambazo hua naona ziko hivyo
Codjec ,alliang(kama sijakosea spelling) na seapiano hua naona wanajitahid ku tune
Kuna aborder moja sikumbuki toleo gan nliona ziko vyema pia ila kwa kawaida ni hizo ngap
 
Nimekupata mkuu, shukrani sana.
 
Wakuu kuna hii LG HT nimekaa nayo miaka kama kumi sasa. CD ilikufa nadhani kwa sababu ya vumbi haifanyi kazi, nilifungua nikasafisha ikafanya ila imekufa tena. Tatizo ni hiyo card ya USB, naona nayo inlets shida, sio msikilizaji wala mtazamaji sana wa music ila naona audio zinaplay, video zimegoma.

Naweza kupata wapi spare yake, au huenda motherboard kubwa ndio imeanza kufa?
20220426_150901.jpg
20220426_151449.jpg
 
Hili nliwah kujibu huko juu kabisa
Mkuu HT na subwoofer vyote ni
Vifaa vya electonics
Zote ni amplifiers
Utofauti unakuja kwenye audio processing tu
HT zinatumia ic maalum yaku equalize signal
Ambayo inakua designed na wahusika wenyewe
Ila subwoofer hazina hi
Yess zipo subwoofer nyingine ziko powered vizuri
Mfano upate hiz za Samsung na moja ya sonny seapiano na kodjec pia
Na kuna Alliang nadhani zile!

Watu hawajatambua hili kua kitu kizuri ni kusikia mziki mkubwa bila ya kelele
Ikiwa subwoofer itakua well designed kwenye box
ikawa vyema kwenye freq determined
Nkuhakikishie kuna ht hazita tia maguu!
Ila nyingi zake subwoofer ni linear power supply wakati HT ni smps ambayo haina el-gapes
Hivyo ikiwa utapata subwoofer nzuri ambayo iko well kwenye sector hizo basi hta HT zinakaa tena vizuri tu

Sababu zote ni busness na wengine wako seriously na bland zao
Mimi bado sijaamini subwoofer nikaiacha kuiamini home theater
 
Back
Top Bottom