Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Pua alibadili kweli ...sababu zinazotolewa ni kutokana na muonekano wa pua yake akiwa mdogo iliyofanya ataniwe sana hata Baba yake Joe Jackson alikuwa akimuita Mj " Big Nose"

Natakujuwa alikuwa hana mtoto ata mmoja hujajibu swali
 
Hapa pana ubishani na elimu kwa pamoja, safi sana.
 
Huo ugonjwa wa ngozi uliomfanya awe anafanya 'make up' kwanini hakuusema kipindi akiwa hai? Je, make up ilijumuisha na uchongaji wa pua? Maana pua yake nayo ilibadilika muonekano tofauti na alivyokuwa awali...
Vp kuhusu Cleverland(sijui kama nimepatia), lile eneo alilokuwa anaishi...

ugonjwa wa ngozi aliongea katika first interview with oprah.
 
Haah haa haaa ! duuh na diamond nae "Big mouth" akachongwe mdomo.
 
Aliiga "moonwalk" kutoka kwa nani?
Moonwalk ilikuwa inapigwa na watu kibao miaka mingi kabla hata Michael hajazaliwa kuanzia kina Billy Baily na wengineo, hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa aliiga kutoka kwa nani ila Moonwalk inabakia kuwa Signature move ya michael na yeye ndiye aliyeipa umaarufu Duniani
 
Kuna mtu maalum ambaye Michael Jackson alimuiga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom