Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Moonwalk ilikuwa inapigwa na watu kibao miaka mingi kabla hata Michael hajazaliwa kuanzia kina Billy Baily na wengineo, hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa aliiga kutoka kwa nani ila Moonwalk inabakia kuwa Signature move ya michael na yeye ndiye aliyeipa umaarufu Duniani

I thought the question was not so much origin ya hiyo dance bali MJ aliiga wapi?

Oh okay...maybe.
 
Hivi M.J aliamini kwamba wale watoto wazungu ni watoto wake? Je alikuwa fyatu kama aliamini ni watoto wake maana watoto ni full wazungu?
 
chochote kuhusu wacko jacko????



haya tuambie alivyokuja Tanzania alikuja na ndege gani na alikaa siti namba ngapi?
tuanzie hapo
 
chochote kuhusu wacko jacko????



haya tuambie alivyokuja Tanzania alikuja na ndege gani na alikaa siti namba ngapi?
tuanzie hapo

Haha umetisha...alikuja na private jet
 
I thought the question was not so much origin ya hiyo dance bali MJ aliiga wapi?

Wikipedia sio reliable source kabisa kuna interview kibao Mj alifanyiwa ila hakuwahi sema aliitoa wapi japokuwa most of his moves zinatokana na influence ya Mkongwe James Brown
 
http://people.howstuffworks.com/moonwalk2.htm ukisoma na hapa utaona kuwa hawaba uhakika

Unajua kulikuwa na moonwalk.tofauti kabla ya moonwalk ya MJ? Na kwamba ile ya MJ originally ilikuwa inaitwa "backslide" MJ ndo akaibadilisha na kuiita Moonwalk?

Unatakq kubishana na Janet Jackson kuhusu Michael Jackson na alipoitoa Moonwalk?
 
Unajua kulikuwa na moonwalk.tofauti kabla ya moonwalk ya MJ? Na kwamba ile ya MJ originally ilikuwa inaitwa "backslide" MJ ndo akaibadilisha na kuiita Moonwalk?

Unatakq kubishana na Janet Jackson kuhusu Michael Jackson na alipoitoa Moonwalk?

Janet kasema hivi, latoya jackson kasema vile, jermaine naye kasema yake we utamuamini nani hpo mkuu mi ndo maana naicherish moonwalk tu ila ukiniuliza alijifunza kutoka kwa nani hapo nakosa jibu
 
MJ ni legend hakuna atakayekuja kutokea kama yeye katika muziki wa pop.MJ ameuza nakala nyingi za cd hakuna atakayeuza zaidi tena kama yeye mpaka dunia inaisha hii ni kutokana na mfumo wa mauzo kubadilika kutokana na teknolojia.Yaani analoji hadi dijitali ambapo kwa sasa muziki unauzwa kupitia online stores na hivyo nakala za online ni nyingi kuliko za cd na tapes.Alipata platinums,double platmus na zaidi nyingi.Ni genious wa muziki ambaye dunia haijawahi kumuona kabla yake.Ni mwanamuziki pekee aliyependwa mno pande zote za dunia kuanzia Japan,Phillipines hadi Ulaya na Amerika ya kusini. Ni mwanamuziki pekee ambaye akifika kutumbuiza akipanda jukwaani kabla hajasema chochote mashabiki walimshangilia huku wakilia na kuzimia kwa dakika 45 au saa moja.MJ alitolewa na akina Diana Ross pia alikuwa best sana na marehemu Liz Taylor.Producer wake ambaye kamjengea jina,umaarufu na utajiri ni mzee mzima QUINCY JONES ambaye waligombana kuhusu hati miliki kiasi kwamba siku ya mazishi ya MJ QUINCY JONES alikuwa nje ya nchi ya Marekani lakini alikataa kurudi ili ahudhurie. Kwa ujumla MJ alinyang'anywa utoto wake na babaake JESSE JACKSON na ndio sababu kuu aliwapenda sana watoto,alitumia sehemu ya utajiri wake kwenye charities na philanthropist causes.
 
Conspiracy Theories hazikosekani hasa kwa watu maarufu kama MJ.Hiyo documentary niliiona youtube kuwa kauawa na Freemasons na DMX kuwindwa all in all hizo ni theorioes.MJ alikuwa kutoka uanamuziki wa kawaida hadi superstar mkubwa sana kwa ubunifu aliokuwa nao tangu Jackson 5 hadi kuwa solo na alijiunga na Motown records ambayo ilikuwa lebo ya weusi na akatingisha dunia nzima.Tungo zake zenye akili nyingi na ujumbe mzuri zitadumu mpaka dunia itakapoisha na sasa wanamuziki wa sasa hawafikii hata kidogo kiwango chake katika utunzi,kuvaa,kucheza,productions za audio na video,management,uwekezaji n.k.Bahati mbaya ni kwenye mahusiano The Wacko Jacko hakufanikiwa.Kuhusu ishu ya rangi MJ alikuwa haupendi weusi ukiachana na hizo sababu za ugonjwa wa Vitiligo.Alifanya show kubwa ya kuitangaza Pepsi miaka ya 80 ambapo aliungua moto kichwani.Pepsi walimlipa fidia kubwa na ikabidi awe anavaa mawigi maisha yake yote yaliyobakia.Alibadili pua yake na rangi pia kwani alikuwa analala kwenye kitanda maalum ambapo anaweka kichwa chake katika kifaa maalum.Alichongwa pua miaka ya 1989,1990 na mara nyingi tu.Alifanya operesheni nyingi tu kurekebisha kidevu,mashavu,paji la uso macho na hiyo ni sababu ya usuperstar kuwa mashabiki watamuonaje.Kama mastaa wengine kama MARYLIN MONROE alijikuta anaingia kwenye uteja wa dawa za usingizi mpaka zikamuua.Baada ya kukaa nje ya game kwa muda mrefu sana na albamu zake kutovunja rekodi kama za miaka ya 1980s ilimuuma sana na kumsumbua.Mapromota waliandaa shoo kubwa sana yenye thamani kubwa ya THIS IS IT iliyokuwa ifanyikie ukumbi wa O 2 jijini London.Waliweka matumaini makubwa ya kutengeneza pesa nyingi na pia kumrudisha MJ kwenye chati yake hivyo ilimpa msukumo mkubwa.Tafuta videos za show ya Rehearsals za This is it utaona mzee alivyokuwa anawapeleka vijana kwa viwango vyake vya 1980s na alikuwa hafanyi mzaha .Hiyo pole pole ilipelekea kwenye kifo chake kwani alizidisha utumiaji wa dawa za usingizi.Alikuwa akimlazimisha Daktari wake Murray mtaalam aliyebobea katika fani ya dawa hizo amuongezee dose na dose mpaka zikamuua.NIKIRUDI NTAANGAZIA NYIMBO NA ALBAMU ZAKE.
 
Je? ni mwaka gani alikuja kwa mara ya kwanza Tanzania?
Tunakumbuka uwanja wa ndege alipokelewa na Hassan Diria (R.I.P) huku akiwa amevaa uniform za umoja wa vijana ni nani alimshauri kuvaa vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom