Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Mkuu unavyoshupaa utadhani unajua kitu kumbe hola kabisa!! Who is Tony Madola?!! Sisi tunamfahamu Tony Mutola!! Huyo Madola sijui umemtoa wapi! You are less informed aisee!!

Mengine Ni Makiduku Dot Com Humu Haina Haja Kupoteza Energy
 
Una mahaba yakutosha sana na MJ
Wako
Ok wewe ulioko high informed tuambia nin kilicho mwua MJ
Usilete tu propaganda bila facts ili na wew ionekane wa kisasa..
 
Kwa hiyo nani kakuambia aliuwawa kwa kuwa alikuwa kwenye piki .aliuwawa kwa kuwa alikuwa anaenda kinyume na WALIO MPAA huo umarufu na kumfikisha hapo alikokuwa sawa kijana..
 
Na kwakweli wew ni mjinga halafu unajifanya mwerevu
Umezoea kulishwa propaganda na cnn..
 
Una mahaba yakutosha sana na MJ
Wako
Ok wewe ulioko high informed tuambia nin kilicho mwua MJ
Usilete tu propaganda bila facts ili na wew ionekane wa kisasa..

kilichomuua ni overdose ya madawa yaliyotajwa labda kama unapenda kurudia kupata majibu yaleyale na kifo chake sababu yake ndo hyo hadi iliyotolewa katika kesi ya Daktari wake Conrad Murray...hizo sababu zako za kwenye documentary uchwara naomba uzifute akilini
 
[video=youtube_share;dhPpwBYgkOI]http://youtu.be/dhPpwBYgkOI[/video]
 
Na kwakweli wew ni mjinga halafu unajifanya mwerevu
Umezoea kulishwa propaganda na cnn..

nakubali mimi ni mjinga ila nakushauri usipende sana kuamini mambo ya conspiracy....watu wanahusanisha vitu tu na wewe unaamini kama kama bogus...yafaa uache hii
 
Kwa hiyo nani kakuambia aliuwawa kwa kuwa alikuwa kwenye piki .aliuwawa kwa kuwa alikuwa anaenda kinyume na WALIO MPAA huo umarufu na kumfikisha hapo alikokuwa sawa kijana..

usipende kuwa na ubishi wa kipuuzi..

hivi kwa akili zako unadhani umaarufu unaletewa nyumbani kwako kwenye kikombe???

Talent na uwezo wa Michael ndo vilivyompa umaruufu tokea akiwa mdogo mpaka kufikia alipo

wewe unakuja na hoja ushuzi za kijinga eti aliuliwa na waliompa umaarufu!!!!

tunapoelekea tuulizane viwango vya elimu sasa maana naona hoja zako ni za ajabuajabu hata mtoto wa la 5 atakushangaa
 
Sikuona swali lako..

Wale watoto sio wa Michael jackson kabisa na Hlo linafahamika hata kwa normal drpiction, Daktari wa Michael nayeye alisema pia, kama unakumbuka mkuu mwaka jana Mtoto wa Kike wa Michael jackson aitwaye Paris Jackson alitaka kujiua baada ya kujua hana undugu na Prince Michael kaka yake..

Kwa kifupi watoto sio wa Michael biologicaly
 
Almost everything tu....hata michael alivyosema this is it ..tyari wamehusanisha na mambo yao ya kijinga, dressing style hadi sauti yake ndogo
 
nakubali mimi ni mjinga ila nakushauri usipende sana kuamini mambo ya conspiracy....watu wanahusanisha vitu tu na wewe unaamini kama kama bogus...yafaa uache hii

Nataka nikuulize tu swali dogo tu ili tupate pa kuanzia na ntakuonyesha ujinga wako uko wapi . Nin CHANZO CHA KIFO CHA MJ.nadhan tunaweza kuanzia hapo.
 
Kwa uzoefu wangu wa kuishi nchi za magharibi kwa muda mrefu, ingawa kweli kuna ubaguzi wa hapa na pale lakini kumwambia mtu huko kuwa ni mbaguzi ni tusi kubwa sana.
 
Nataka nikuulize tu swali dogo tu ili tupate pa kuanzia na ntakuonyesha ujinga wako uko wapi . Nin CHANZO CHA KIFO CHA MJ.nadhan tunaweza kuanzia hapo.

unataka upewe majibu mara ngapi asew..rudi nyuma hko utaona majibu
 
Kwa uzoefu wangu wa kuishi nchi za magharibi kwa muda mrefu, ingawa kweli kuna ubaguzi wa hapa na pale lakini kumwambia mtu huko kuwa ni mbaguzi ni tusi kubwa sana.

kama ni ukweli je??? Tony alikuwa mmbaguzi kweli ndo maana alinywea
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…