ngoma nje nje hasa pale watoto wa ktv wameungua wengi
Sisi wa Enzi hizo hivi lile disco letu green valley na hub club yapo?totoz za mazinde juu,kifungilo,shambalai,kongei gonga sana zile Enzi izo na mhuni mmoja alikua kinyozi sijui bado Suma yupo jamani???
kwanini view point wanashika kiingilio hadi kwa wazawa na pia kwanini vijana wa huko wengi ni wavivu wanapenda mapenzi tu mm nimekaa huko hadi primary nilisoma Hazina Alafu ni kweli kuwa raisi Kikwete alikaa kota za Hazina enzi hizo na wazazi wake wakiwa watumishi wa serikali?
Unamjua Carlos?
Sidhani kama vijana wa lushoto no wavivu kwa ujumla wake. Utafiti unaonyesha Vijana was huko ni Wachapa kazi ukiacha wavivu wachache ambao wapo kila eneo la Nchi Hii. Kuhusu kutozwa kiingilio kwa Wazawa eneo la view point hili ni tatizo kubwa MKUU, inaonekana hawa jamaa wako juu ya sheria kwani wamekataa kutii hata amri ya MKUU wa wilaya iliyowataka waondoe vikwazo kwa Wazawa.
ni kweli Mzee Mkapa amewekeza sana Lushoto na huja kwa mapumziko mara moja moja
Kweli mkuu umejibu vema.. Uko pande gani pale Lushoto. mimi nilikuwa pale mjini kwa juu kidogoSidhani kama vijana wa lushoto no wavivu kwa ujumla wake. Utafiti unaonyesha Vijana was huko ni Wachapa kazi ukiacha wavivu wachache ambao wapo kila eneo la Nchi Hii. Kuhusu kutozwa kiingilio kwa Wazawa eneo la view point hili ni tatizo kubwa MKUU, inaonekana hawa jamaa wako juu ya sheria kwani wamekataa kutii hata amri ya MKUU wa wilaya iliyowataka waondoe vikwazo kwa Wazawa.
Mwenzako kanogewa...
anakaa gare
Na pia mkapa amejenga hotel ya kitalii huko
Kweli mkuu umejibu vema.. Uko pande gani pale Lushoto. mimi nilikuwa pale mjini kwa juu kidogo
Lushoto ni kuzuri kwa kweli cwezi fananisha na wilaya nyingine yoyote hapa tz
Na Mimi nilijua kwa vyovyote uliishi pale mjini kwani ndio unaweza kuwapata Vijana wa kijiweni. Mimi hapo karibu na view point ndio nyumbani. Ila shughuli zangu haziko huko.
Mbona kama nakujua wewe? una mpata pascal manguruwe?
Pascali yupi aliyejenga karibu na view?
Khaa! Nikadhani Kuna kambi ya wajeda hapo msituni kumbe mbwembwe zoote mnazungumzia polisi.
Pindi naishi Nyakabungo Mza kuufikia msitu unaomzunguka RC Mashishanga (by then) it was less than 15min(on foot).Mule msituni kulikuwepo kambi ya jeshi(kwa mujibu wa wenyeji wangu) Lakini kwa wakati huo kambi ya vibaka nayo ilikuwa humo humo msituni na wakikukaba barabarani,wanatokomea na wewe msituni na tukio la uchunaji ngozi limewahi kurepotiwa hapo.
Mkuu mtakuwa mnaogopa uniforms tu hakuna watu hapo.
Pia ni eneo ambalo Watalii hutembelea kwa kurudia rudia, Mtalii anapofika kwa Mara ya kwanza hupanga safari nyingine si tu kutembelea maeneo ambayo hajatembelea bado, lakini pia hata yale ambayo tayari ametembelea. Hii ni kutokana kuwepo maeneo na pia mandhari ya kuvutia mfano, msitu wa mazumbai, Irente view point, magamba forest, sakarani Irente biosidervity reserve n.k.