Niulize chochote kuhusu DUCE

DUCE na MUCE ni branches za udsm so taarifa zote muhim zinatoka main campus kwny website ya udsm, ndio maana ht selection duce muce utaipata www.udsm.ac.tz na sio duce wala muce

hapo nimekupata mkuu
 
The problem is that you're so insecure young guy(sorry to say so) You're directing your accusations to a wrong organ. Yaani kama kweli unaamini DARUSO wana uwezo wa kukupigania ukaongezewa boom basi kazi bado ipo.
 
Na wewe kama UNAamini hawawezi basi kazi ipo.
 
Last edited by a moderator:
n kwel kuw wanaokosa hostel ni weng zaid ya wanaopata,naomb kujua ukwel kuna jamaa kanambie watu kama mia 5 mwaka jana ndy waliopata hostel za ndan(duce),mabibo n mbagala hostel kat ya watu elfu 1 na mia 7.
 
bsc ada sio milion moja ni million moja na laki tatu
 
naomba kuuliza utaratibu wa libary ukoje hapo,muda wa kujisomea private ukoje ktk madarasa ni muda wowote utakao au kuna muda maalumu maana nilpita hapo duce naona kuna gate...sasa ndo naulza muda wowote hata nyakat za ucku unaruhuswa kuingia ndani ya chuo?
 
n kwel kuw wanaokosa hostel ni weng zaid ya wanaopata,naomb kujua ukwel kuna jamaa kanambie watu kama mia 5 mwaka jana ndy waliopata hostel za ndan(duce),mabibo n mbagala hostel kat ya watu elfu 1 na mia 7.

Hostel za ndani zina accomodate watu 395 tu, Mbagala ni 106, na Mabibo hostel kwa mwaka jana DUCE walipewa nafasi 200 tu.
 
Library inakuwa wazi na huru muda wote hadi saa nne kamili usiku.Mwanafunzi unaruhusiwa kuingia chuo muda wote.Kwa wanaoishi hostel unaruhusiwa kumkaribisha chumbani kwako mgeni asiye mwanachuo hadi saa kumi na mbili jioni na kwa mgeni mwanachuo anaruhusiwa hadi saa sita usiku.
 
shukrani kiongozi
 
samahani nimechaguliwa duce sec selection kuna kitu nilikua nataka kujua hiv hiki chuo kinamuda gan toka kianzishwe
 
Umenikumbusha DUCE tulikuwa tukiita dar es salaam university college of engineering.
 
kuna taarfa nimepata kuwa join instruction za DUCE zimetoka tayar, lakn nimeingia kweny webste yao sijajua ni eneo gan zpo located
 
nasikia join instruction zmetoka ila nimeingia kwenye website yao sijajua zpo located wap?
 
una hamu sana na ualimu thus y u cant see............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…