Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Nipeni dawa ya malaria pia, inanisumbua sana
chukua majani ya mualovera, katakata vipande vidogo vidogo na uloweke kwenye maji nusu lita.

Acha mchanganyko huo masaa 12, kunywa ahsubuh na jioni kwa siku 7.

Nunua na panadol utakua unakunywa tembe 2×3 kwa siku.
Meza panadol mpaka utakapo maliza doz ya mualovera.
 
Ng'ocha ngoko
Kumbwa mbezo nk

Mitishamba hiyo huhusisha kuimarisha misuli ya uume iliyolegea na kuifanya imara,huondoa chango la kiume ambalo ndilo chanzo hasa cha maumbile kusinyaa! Hurekebisha homoni ya kiume na hivyo huongeza maradufu na ni tiba ya nguvu za kiume kama ikiandaliwa katika mazingira sahihi na kutumiwa kwa weledi
Mkuu,hii inakuza mashine au inaurejesha katika hali yake ya uimara?
 
chukua majani ya mualovera, katakata vipande vidogo vidogo na uloweke kwenye maji nusu lita.

Acha mchanganyko huo masaa 12, kunywa ahsubuh na jioni kwa siku 7.

Nunua na panadol utakua unakunywa tembe 2×3 kwa siku.
Meza panadol mpaka utakapo maliza doz ya mualovera.
Bado kuna kumeza vidonge tena, nilihitaji ambayo haina hata kidonge, halafu siku 7 ni nyingi labda kama sitougua tena, ni bora tu kutumia hii dose ya kawaida ya malaria ya siku 3 tu
 
chukua majani ya mualovera, katakata vipande vidogo vidogo na uloweke kwenye maji nusu lita.

Acha mchanganyko huo masaa 12, kunywa ahsubuh na jioni kwa siku 7.

Nunua na panadol utakua unakunywa tembe 2×3 kwa siku.
Meza panadol mpaka utakapo maliza doz ya mualovera.
😖
 
Jambo watanzania wenzangu!!

Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.

NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku ambayo tunaishi nayo na yanatusumbua.
Kuna tiba yoyote ya VITILIGO ?
 
Mkuu Mshana Jr. Bado Tuko kwenye Oktava ya Mwaka mpya 2022. Happy New yr.🤣 aithee.

Huo mti uliooneshwa hapo kwenye picha wenye maua makubwa mekundu SIO Mjafari.

Mjafari huku Umasaini ni mingi sana na Unaitwa Oloisuki. Baadhi ya makabila wanauita Mlungulunguani, Wahehe wanauita Mkhunungu. Unamatumizi-dawa mengi sana.

Majani yake machanga huweza kutumika kama mboga(Mlenda). Matunda yake yaliyokomaa yanafanana sana na pilipili manga. Hukaushwa na kusagwa na hutumika kama Tangawizi kwenye chai- hutibu matatizo ya kifua kinachobana. Mizizi yake iliyokaushwa na kusagwa hutumika kutibu maumivu ya viungo/mifupa ikiwepo arthritis, mgongo, kiuno n.k. n.k.

Mti huo picha yake ni hii hapa:
Angalia maua yake yalivyo ni tofauti na yale mekundu katika picha iliyooneshwa. Picha (Mti) uliyooneshwa wenye maua makubwa mekundu huku Umasaini tunauita mti huo Olng'aroji.

View attachment 2071796

View attachment 2071800

View attachment 2071807
Wapare wanauita msele
 
Back
Top Bottom