Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

UTI sugu(maambukizi sugu kwenye njia ya mkojo) wakati mwingine huweza kiathiri kibofu na hata mpaka kwenye figo,na inapofikia hatua hiyo inakuwa hatari zaidi na uponaji wake unakuwa mgumu sana unaweza kumeza Antibiotic za kila namna bila mafanikio.Kuna Mitishamba ambayo kama imevunwa na kuandaliwa kwa weledi huweza kufuta kabisa bakteria wote kwenye njia za mkojo na kuweka kinga imara ndani ya wiki mbili mpaka mwezi.
Nilidhani umekuja kusaidia jamii kumbe kufanya biashara!
 
Nielekeze tafadhali
Kuna dawa ya vidonge inaitwa septrin inauzwa elf 1 had mia tano nunua hata ya buku isage iwe unga kabisa lain Kisha chukua mafuta ya mgando ya Miatano ya kawaida kabisa changanya huonunga na hayo mafuta uwe unapaka mwilini au maeneo yalioathirikana MBA
 
Dawa ya mba wa ngozi tafadhali
Ahsante Sana kwa swali zuri.
Mba wa ngozi hutibiwa kikamifu kabisa bila kujirudia na mmea unaojulikana kwa jina la kisayansi( Botanical name) "Uapan niuda" kwa jina la kisukuma tunauita " Njolwa mbogo" mmea huu hufanana kwa muonekano majani yake Kama mchongoma lakini wenyewe haurefuki sana Kama ilivyo michongoma.Unachopaswa kufanya,vuna majani yake wakati wa asubuhi kabla jua halijachomoza,halafu yaanike sehemu isiyokuwa na jua Kali mpaka yatakapokauka na kisha yasage kabisa na kuwa unga laini.Unga huo unakuwa unachukua nusu kijiko kwenye maji Moto,chai au uji mara mbili mpaka tatu kwa kutwa.Sambamba na Hilo chukua unga kiasi changanya kwenye mafuta ya kupaka unayotumia na upake kila baada ya kuoga angalau mara mbili kwa siku.
Huu ni mmea uliotumika tangu enzi katika tiba hiyo ya mba wa ngozi,wengine huvuna na kujisugulia majani yake wakati wa kuoga na baada ya siku tatu mba wote hupotea kabisa.
Mmea huu pia unaweza kutumika katika tiba nyingine Kama kuondoa sumu mwilini,magonjwa ya athma n.k unapochanganywa na mimea mingine.Upatikanaji wake ni rahisi mno kwa vijijini na kila kijiji kwa kanda ya ziwa na pwani huwa unaonekana.
Mungu akuponye🙏🙏
 
Nina uvimbe kwenye kifua na kwenye mbavu , nimekwenda hospital nimeishia kufanya x-ray baadae baada ya majibu ya x-ray hakujafanyika tiba isipokuwa nikatakiwa nifanye CT scan ya kifua

baada ya CT scan majibu yalivyotoka nikaambiwa nifanye Biospy yaani Kwa kifupi Toka nianze kuhudhuria hospital sijapata hata robo ya solution na nakuwa napata maumivu makali ya mgongo hvyo nalazimika kunywa diclopa kila siku

Ili nipate usingizi , je kunatiba mbadala ya kupoteza huo uvimbe maana upo tu na wenyewe hauumi Hadi uubonyeze ila mwili kama mwili upande wa mgongo Kuna maumivu Sana.
 
U
Kama una Jambo unahitaji kusaidiwa tafadhali andika hapa nikupe msaada🙏
Nina uvimbe kwenye kifua na kwenye mbavu , nimekwenda hospital nimeishia kufanya x-ray baadae baada ya majibu ya x-ray hakujafanyika tiba isipokuwa nikatakiwa nifanye CT scan ya kifua

baada ya CT scan majibu yalivyotoka nikaambiwa nifanye Biospy yaani Kwa kifupi Toka nianze kuhudhuria hospital sijapata hata robo ya solution na nakuwa napata maumivu makali ya mgongo hvyo nalazimika kunywa diclopa kila siku

Ili nipate usingizi , je kunatiba mbadala ya kupoteza huo uvimbe maana upo tu na wenyewe hauumi Hadi uubonyeze ila mwili kama mwili upande wa mgongo Kuna maumivu Sana.
 
Kuna dawa ya vidonge inaitwa septrin inauzwa elf 1 had mia tano nunua hata ya buku isage iwe unga kabisa lain Kisha chukua mafuta ya mgando ya Miatano ya kawaida kabisa changanya huonunga na hayo mafuta uwe unapaka mwilini au maeneo yalioathirikana MBA
Ahsante sana ndugu tena sana. Kuna jamaa aliniuzia 8000 kikopo cha tulip cha 500
 
Nina uvimbe kwenye kifua na kwenye mbavu , nimekwenda hospital nimeishia kufanya x-ray baadae baada ya majibu ya x-ray hakujafanyika tiba isipokuwa nikatakiwa nifanye CT scan ya kifua

baada ya CT scan majibu yalivyotoka nikaambiwa nifanye Biospy yaani Kwa kifupi Toka nianze kuhudhuria hospital sijapata hata robo ya solution na nakuwa napata maumivu makali ya mgongo hvyo nalazimika kunywa diclopa kila siku

Ili nipate usingizi , je kunatiba mbadala ya kupoteza huo uvimbe maana upo tu na wenyewe hauumi Hadi uubonyeze ila mwili kama mwili upande wa mgongo Kuna maumivu Sana

Nina uvimbe kwenye kifua na kwenye mbavu , nimekwenda hospital nimeishia kufanya x-ray baadae baada ya majibu ya x-ray hakujafanyika tiba isipokuwa nikatakiwa nifanye CT scan ya kifua

baada ya CT scan majibu yalivyotoka nikaambiwa nifanye Biospy yaani Kwa kifupi Toka nianze kuhudhuria hospital sijapata hata robo ya solution na nakuwa napata maumivu makali ya mgongo hvyo nalazimika kunywa diclopa kila siku

Ili nipate usingizi , je kunatiba mbadala ya kupoteza huo uvimbe maana upo tu na wenyewe hauumi Hadi uubonyeze ila mwili kama mwili upande wa mgongo Kuna maumivu Sana.
Pole mkuu kwa changamoto unayopitia.

Tafuta mafuta ya mnyonyo uwe una chua kila siku walau mara mbili au zaidi eneo la uvimbe na maeneo ya mgongo sehemu unapo uma.
Utakaa sawa. Amini
 
Nina uvimbe kwenye kifua na kwenye mbavu , nimekwenda hospital nimeishia kufanya x-ray baadae baada ya majibu ya x-ray hakujafanyika tiba isipokuwa nikatakiwa nifanye CT scan ya kifua

baada ya CT scan majibu yalivyotoka nikaambiwa nifanye Biospy yaani Kwa kifupi Toka nianze kuhudhuria hospital sijapata hata robo ya solution na nakuwa napata maumivu makali ya mgongo hvyo nalazimika kunywa diclopa kila siku

Ili nipate usingizi , je kunatiba mbadala ya kupoteza huo uvimbe maana upo tu na wenyewe hauumi Hadi uubonyeze ila mwili kama mwili upande wa mgongo Kuna maumivu Sana.
Pole Sana! Umeshapata suluhisho? Kama bado nijulishe hapa tafdhali
0674 348 222
 
Back
Top Bottom