Nitoeni porini tafadhali

Nitoeni porini tafadhali

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
870
Reaction score
531
Heshima mbele wanajamvi !

Bila kuchelewa niende kwenye mada,mwezi uliopita nilinunua Huawei p1 ikawa na tatizo la kustaki nikarudisha dukani wakaniambia nisubiri watanibadilishia.

Juzi wamenipa simu nyingine nayo ni p1 ila hii ya sasa kuna vitu viko tofauti na ile ya mwanzo mfano;

1.Camera yake ni nzuri zaidi ya ile ya mwanzo

2.Simu ya sasa ni nzito kuliko iloe ya zamani

3.Kioo chake kipo klia zaidi kwa kifupi hii simu ya sasa ina quality kubwa zaidi ya ile ya mwanzo.

4.Mbele imeandikwa huawei nyuma ya mfuniko imeandikwa EM EMOBILE

5.Wakati inapowaka haileti maandishi Huawei ila inaleta emobile

SWALI.
Hawa emobile ni nani hao nimejaribu ku google wananiletea miandishi flani ya kijapani !!
Tubadilishane uzoefu wajameni.
 
Thanx mkuu nimepitia hiyo link kwa hiyo inawezekana hii p1 ni kama zile zinaandikwa at&t,sprint,verizon nk ?
 
Back
Top Bottom