Kwa nini simu isiwe na utambulisho wake?

Kwa nini simu isiwe na utambulisho wake?

haxlley

Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
23
Reaction score
19
Kuna kampuni iliamua kutengeneza simu ambayo haifanani na simu nyingine yoyote… na watu wakaanza kuiita “simu ya ajabu.”

Hii ndiyo Nothing Phone.

Wakati Samsung na iPhone wanapambana kutengeneza simu zenye muonekano wa kawaida wa kifahari, Nothing wakaja na wazo tofauti:

“Kwa nini simu isiwe na utambulisho wake?”

Ndiyo maana ukaona ile muonekano wa uwazi nyuma…
taa za Glyph zinazowaka unapopata taarifa…
na muonekano ambao ukishika mbele ya watu, lazima mtu akuulize:

“Hii ni simu gani?” 😂

Lakini kitu cha kushangaza zaidi ni hiki…

Nothing haikujaribu tu kuuza simu.
Ilijaribu kujenga jamii ya watu wanaotaka kitu tofauti.

Na sasa wana simu mbalimbali zenye viwango tofauti vya bei.

ORODHA YA NOTHING PHONE

4A PRO 256GB — 1,890,000/=
4A 256GB — 1,480,000/=
3 256GB — 1,800,000/=
3A PRO 256GB — 1,290,000/=
3A LITE 128GB — 850,000/=
2A PLUS 256GB — 930,000/=

Na swali ni…

Je, Nothing Phone ni simu ya kawaida yenye muonekano mzuri, au ni mwanzo wa kampuni inayoweza siku moja kushindana na kampuni kubwa za simu? 🤔


For more information contact us 0760118225

📍 kariakoo aggrey & masasi street opposite maendeleo bank
 

Attachments

  • eb0e7b2b7e27997b37cc31534460efb2.jpg
    eb0e7b2b7e27997b37cc31534460efb2.jpg
    70.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom