Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,603
Bitcoin na Forex ni Pyramid business kama Mr. Kuku, Deci na Qnet????Pyramid Business.. Hakuna cha zaidi..
Wachache wa kwanza ndio watafaidika, watakaofata ndio cha moto watakiona..
It's the likes of Mr Kuku, Deci, Qnet..
Time value of money.. kwamba pesa ina thamani sana sasahivi kuliko siku za mbeleni.Nakumbuka kwenyee somo la uchumi, kuwa unaweka pesa bank value yake inakuwa kwa interest rate. Ila cha kushangaza unakuta interest rate ni 12% huku value of miney inadepreciate kwa 10%.
Mfano unaweza ulikuwa ni milliin 20 miaka 10 iliyopita ukaweka bank fixed acc ambayo leo inaweza ikawa ni 30million. Ila kihesabu value ya 20million miaka 10 iliyopita inaweza kuwa ni mara mbili ya value kwa hivi sasa.
Bwashee bado upo Dar?Time value of money.. kwamba pesa ina thamani sana sasahivi kuliko siku za mbeleni.
Ideally, wachumi huwa wa assume kutakuwa na price increase au high inflation ambayo huwa ina destroy value of money.
Ila hii theory inaweza pia kuwa contested ...!!!
Kuna mengi sana kwenye financial markets ndugu yangu.. labda nikuulize tu swali.. kwanini unasema bitcoin tumechelewa ???Mkuu somo lako zuri kabisaa, bit coin tumeshachelewa, ila kwa sasa macho yote tuyaelekeze kwenye USD Coin.
The future is there
Hapana bwashee nimekuja kula mbuzi mbili na wazee huku Moshi.. si unajua tena bwasheeBwashee bado upo Dar?
Naona kama wengi wetu hatuwezi ku afford kununua kwa sasa. The price is too high, kakaKuna mengi sana kwenye financial markets ndugu yangu.. labda nikuulize tu swali.. kwanini unasema bitcoin tumechelewa ???
Nataka kukufundisha kitu
Inategemea definition yako ya too high.. kwa mfano baada ya miaka 10 kama bitcoin iki shoot mpaka USD 100k kutoka hapa USD23k bado utakuwa na mawazo kwamba at USD23k ilikuwa kwenye price ambayo ni too high?Naona kama wengi wetu hatuwezi ku afford kununua kwa sasa. The price is too high, kaka
Inategemea mkuu, kwani bitcoin mbona kuna watu wananua hata za usd 1000... Unachoangalia wewe ni return in terms ya % ya ulicho kiwekeza.. so bado sioni mashiko hapo mkuuSijakaa nakubaliana na wewe, but concern yangu, kwa maisha yetu wa Tz tulio wengi, its hard ku afford kununua 1 bit coin for 23k, instead we can focus on buying m
New Usd coin, ambayo itaanza at very reasonable price na kuna possibility kubwa ya ku mature na ku gain wealthy
Panda mbegu ndugu, huko mbeleni majibu utakuja kuyapata..Bitcoin na Forex ni Pyramid business kama Mr. Kuku, Deci na Qnet????
Oyoyoyoyooo!! Una mengi ya kujifunza ndugu
Asante kwa kunielewesha mkuuInategemea mkuu, kwani bitcoin mbona kuna watu wananua hata za usd 1000... Unachoangalia wewe ni return in terms ya % ya ulicho kiwekeza.. so bado sioni mashiko hapo mkuu
Mimi sio muumini wa hiyo theory ... Huo ni mtizamo wako Chief, kuna wengi sana akina Warren Buffet, Carl Icahn, George Soros.. et al wametengeneza Billions bila ku produce goods au service..Panda mbegu ndugu, huko mbeleni majibu utakuja kuyapata..
Theory ya utajiri ni moja tu "If you want to be rich, u have to produce goods or services"
Hayo yenu mengine fanyeni, ndio yaleyale tu kama yule Mngoni aliyekuwa anawadanganya ananunua mahindi gunia elfu 70 anauza elfu 40..
Always, losers like shortcuts...
They are billionaires, unafikiri wanacheza na speculations tu bila kuichungulia system..Mimi sio muumini wa hiyo theory ... Huo ni mtizamo wako Chief, kuna wengi sana akina Warren Buffet, Carl Icahn, George Soros.. et al wametengeneza Billions bila ku produce goods au service..
Walikuwa wanacheza kwenye speculations tu kama hivi