Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,599
Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo.

Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million.

Na tarehe 16 March mwaka huu 2020, bei ya bitcoin moja ilikuwa inauzwa kwa Tzs 11 Million, maana yake ni kwamba kama uliwekeza milioni 11 mwezi march, sahiv ungekuwa na faida kama Tzs 42 Million.

Yaani ungeweza kabisa ku postpone kununua IST na ukarisk kwenye bitcoin, ungekuta sahiv unaongelea kununua Ford Ranger!!.

Screenshot_20201217-220736.png

Anyway, lengo la uzi wangu sio kuwatia watu machungu, najua kuna matomaso hapa wataniuliza, wewe umetengeneza faida ya sh ngapi mpaka sasa..?

Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwakumbusha kwamba, FINANCIAL MARKETS IS REAL..

Somewhere, someone is making good monies out of it, so sio vizuri kutukana hustlers wa kwenye bitcoin na forex.

Kama kitu hutaki, potezea kimya kimya.. ila usiwavunje watu moyo.

Hivo yani.
 
Nakumbuka kwenyee somo la uchumi, kuwa unaweka pesa bank value yake inakuwa kwa interest rate. Ila cha kushangaza unakuta interest rate ni 12% huku value of miney inadepreciate kwa 10%.

Mfano unaweza ulikuwa ni milliin 20 miaka 10 iliyopita ukaweka bank fixed acc ambayo leo inaweza ikawa ni 30million. Ila kihesabu value ya 20million miaka 10 iliyopita inaweza kuwa ni mara mbili ya value kwa hivi sasa.
 
Time value of money.. kwamba pesa ina thamani sana sasahivi kuliko siku za mbeleni.

Ideally, wachumi huwa wa assume kutakuwa na price increase au high inflation ambayo huwa ina destroy value of money.

Ila hii theory inaweza pia kuwa contested ...!!!
 
Naona kama wengi wetu hatuwezi ku afford kununua kwa sasa. The price is too high, kaka
Inategemea definition yako ya too high.. kwa mfano baada ya miaka 10 kama bitcoin iki shoot mpaka USD 100k kutoka hapa USD23k bado utakuwa na mawazo kwamba at USD23k ilikuwa kwenye price ambayo ni too high?
 
Maana yake ni kwamba kwenye financial markets hakuna price ambayo ni too high or too low... Price ina move popote..

Kuna watu huwa wanadhani price ikiwa ndogo sana ndo opportunity ya kununua.. ama ikiwa kubwa sana basi inatakiwa kuuzwa.. sivo ilivo
 
Sijakaa nakubaliana na wewe, but concern yangu, kwa maisha yetu wa Tz tulio wengi, its hard ku afford kununua 1 bit coin for 23k, instead we can focus on buying m
New Usd coin, ambayo itaanza at very reasonable price na kuna possibility kubwa ya ku mature na ku gain wealthy
Inategemea mkuu, kwani bitcoin mbona kuna watu wananua hata za usd 1000... Unachoangalia wewe ni return in terms ya % ya ulicho kiwekeza.. so bado sioni mashiko hapo mkuu
 
Bitcoin na Forex ni Pyramid business kama Mr. Kuku, Deci na Qnet????

Oyoyoyoyooo!! Una mengi ya kujifunza ndugu
Panda mbegu ndugu, huko mbeleni majibu utakuja kuyapata..

Theory ya utajiri ni moja tu "If you want to be rich, u have to produce goods or services"

Hayo yenu mengine fanyeni, ndio yaleyale tu kama yule Mngoni aliyekuwa anawadanganya ananunua mahindi gunia elfu 70 anauza elfu 40..

Always, losers like shortcuts...
 
Mimi sio muumini wa hiyo theory ... Huo ni mtizamo wako Chief, kuna wengi sana akina Warren Buffet, Carl Icahn, George Soros.. et al wametengeneza Billions bila ku produce goods au service..

Walikuwa wanacheza kwenye speculations tu kama hivi
 
They are billionaires, unafikiri wanacheza na speculations tu bila kuichungulia system..

Mbona hata Pablo na El Chapo walikuwa successful kwenye biashara zao ingawa si halali na hatarishi?

Mekuu ebu tukutane pale Hugo's tupate mbuzi choma na glass ya JD..
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom