Nitawezaje kukata rufaa pindi nikifungiwa na JF

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
647
350
Nachukizwa sana na kitendo cha kufungiwa na JF kunifungia kwa muda kupost new topic. Naona kama serikali ya Chi Chi emu isivyo na huruma na wanachi wake. Siku mkinifungia tena. Nitawakimbia wana JF. Kama kuna uwezokano, mniambie wapi nikakate rufaa wapi.
 
Mkuu post 13 umeshakula ban?Ulikosa nini mkuu
 
Nachukizwa sana na kitendo cha kufungiwa na JF kunifungia kwa muda kupost new topic. Naona kama serikali ya Chi Chi emu isivyo na huruma na wanachi wake. Siku mkinifungia tena. Nitawakimbia wana JF. Kama kuna uwezokano, mniambie wapi nikakate rufaa wapi.
Wewe unaonekana kuwa ni mkorofi...kwanini ufungiwe ukiwa mgeni hivyo?
 
una miezi 2 tayari ulisha kula ban....angalia kwanini unakula ban, je ulisha soma masharti ya JF..
 
Tatizo kubwa, uhuru wa maoni na mawazo haupo hapa JF. Unatoa Topic ili watu wachangie mada, mara oooh Umefungiwa mpaka tare kwa sababu ya ku----Raisi. Jamani! uhuru wa mawazo umekuwa kama uhuru wa kuandamana kwa amani.
 
Back
Top Bottom