Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Ok. Ujenzi basic. Unahitaji msingi ambao utatumia mawe au tofali kulingana na eneo, kuta ni tofali either cement au choma, kisha unapaua kwa bati ambayo wengi hutumia gauge 30. Ukipiga floor ya cement, ukaweka milango na madirisha hiyo ni nyumba ya kawaida kabisa.

Ikiwa hivyo tayari ni nyumba kamili ambayo mtu anaishi.

Vingine unaweza boresha ukiwa tayari umo ndani, mfano kuweka tiles, kupaka rangi, kuweka roofing n.k.

So unaweza nyumba ijenga kwa kuanzia sh milioni 1 leo, ukaimaliza kwa mil 10, ukaiboresha na kufikia Mil 30.

Hivyo ujenzi ni mchakato, ndio maana haihitaji kuwa na cash money ili ujenge.

Na hata nyumba uliyokamilisha leo, unaweza kesho ukafanya kuweka madoido mengine. Nayo yakakuongezea gharama na thamani ya nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ninayemjibu amesema 10m imeisha kila kitu. Wengi tunajenga kwa kudunduliza. Kuna mahali nimesema lazima ujenge na hela yote cash? Niliemjibu amesema anajenga nyumba nzuri ya vyumba vitatu Kwa 10m. Kwa maoni yangu nimemwambia ni ngumu sana,akifanikisha anitumie picha.
 
3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........

  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
Fact ya kufa mtu.... NUMBERS DO NOT LIE
 
Ahahahahahaha shenzee zakoo ukute hata kumi huna wanitoa mate ya bure kwendraaa

Ushaanza kujenga nyumba au we tayari una kasiri lako

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahah wewe bana wewe ni shaona ni fungu la kukosa. Huwezi ukawa serious eti sina pesa hata ya mbuzi na bia

Nipo kwenye finishing now ndo najiandaa kupandisha ma interior designing kwenye ukuta juu na chini. Siyo haba kila kitu kinawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo mazuri kabisaaa hayaaa mi nadhani umelewa nilivyomaanishaa

Ukisema ujenge nyumba ya milioni 100 si leo baba labda kina Mengi au wafanyabiashara wakubwa na mawaziri au wabunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umesema unajenga nyumba ya vyumba vitatu Kwa 10m mpaka inakamilika. Hamna anaesema uwe na cash 100m ndio usnze kujenga. Hebu mtu aliejenga nyumba ya vyumba vitatu Kwa 10m atauwekee hapa. Hatumatishani tamaa tunaelezana Hali halisi.
 
Hapana mkuu hakuandika hivyo, mimi nilimuuliza hilo swali akanipa mfano yeye anaweza.
 
Hata hao wafanyabiashara wakubwa historia zao, nyumba za kwanza uliza walijenga vipi. Its always not easy Mwanzoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Marekani watu wenye kipato ndogo au wasio na ajira, wanaishi kwenye 'mobile homes'. Hizi ni magari makubwa ambayo yamegeuzwa kuwa nyumba. Wamepangiwa sehemu maalum ya kuparki na wanaunganishwa na umeme, maji na huduma zingine. Kwa nini hapa kwetu tusianze huu mtindo ya kuishi kwenye magari??? Ukikorofishana na majirani, unapiga tu reverse na unaenda zako. Hamna haja ya kumrushia mchepuko hela ya nauli, unapeleka gheto kwake! Mimi naona maisha yatanoga sana ukiwa unaishi juu ya gurudumu!

Hahaha aisee vipi kuhusu security!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu hakuandika hivyo, mimi nilimuuliza hilo swali akanipa mfano yeye anaweza.
Unakataa nini unakubali nini. Kasema anaweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Kwa 10m ndio Mimi nasema ni ngumu. Akifanikisha au kama yupo humu aliejenga atupe mrejesho.
 
Huyo ninayemjibu amesema 10m imeisha kila kitu. Wengi tunajenga kwa kudunduliza. Kuna mahali nimesema lazima ujenge na hela yote cash? Niliemjibu amesema anajenga nyumba nzuri ya vyumba vitatu Kwa 10m. Kwa maoni yangu nimemwambia ni ngumu sana,akifanikisha anitumie picha.
I got u bro!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umesema unajenga nyumba ya vyumba vitatu Kwa 10m mpaka inakamilika. Hamna anaesema uwe na cash 100m ndio usnze kujenga. Hebu mtu aliejenga nyumba ya vyumba vitatu Kwa 10m atauwekee hapa. Hatumatishani tamaa tunaelezana Hali halisi.
Mimi inaisha vizuri tu,na maji au umeme kimoja wapo naweka,ila

vigae,alminium ntaweka pole poleee

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
Haahah wewe bana wewe ni shaona ni fungu la kukosa. Huwezi ukawa serious eti sina pesa hata ya mbuzi na bia

Nipo kwenye finishing now ndo najiandaa kupandisha ma interior designing kwenye ukuta juu na chini. Siyo haba kila kitu kinawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana haya ndo mambo sasa sio kunipigia kelele humu tu

Sasa mbuzi mzima nakula na na wale wahudumu wote au nabeba kabisa kurudi nae home [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
 
3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
  1. Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
  2. cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
  3. Mchanga fuso 200000/=
  4. nondo 4@ 20000/= 80000/=
  5. Ring beam 30@500
  6. kokoto 100000/=
  7. maji 50000/=
  8. madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
  9. mlango frem na top 600000/=
  10. mlango chooni 400000/=
  11. Bati 15 @ 22000/= 330000/=
  12. Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
  13. misumali = 15000/=
  14. Blandaring mbao 15pc = 45000/=
  15. gypsum board PC 5 = 60000/=
  16. mikanda 6@4000= 24000/=
  17. rangi ndoo 30000/=
  18. gypsum powder 2bags = 30000/=
  19. white cement 1 bags 30000/=
  20. Tailizi 30square Mita = 900000/=
  21. Sinki la choo 30000/=
  22. septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
  23. bomba na chember moja 40000/=
  24. wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
  25. kuingiza Umeme TANESCO …...…...
  26. maji dawasco........
  • MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
  • mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
  • kupaua 300000/=
  • plaster na skimming 300000/=
  • fitting za Umeme 200000/=
  • FUNDI tailiz 150000/=
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
Mwenzio amesema tofali za udongo,wewe unaweka za sumenti na mchanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom