Wakuu,
Naomba mnisaidie,
Nimechoka kukaa NHC, huku nikiwa na kigari angali nyumba sina.
Kwa kipindi sasa nimekuwa nikitafuta ramani ya nyumba nafuu kuliko maelezo,, yani ni hivi:-
I we ya vyumba viwili na sebule na bafu LA ndani.
Matofali ya kuchoma (ya udongo)
Ikiwezekana nijenge kwa mpauo wa "flat roofing"
Au
Hidden roofing (naskia ni budgetary balaa ila kuna tahadhari cjazjua)
Niweke madirisha ya vioo ya bei ndogo yaani makubwa ila yasiyo ya kuslaid au alminium, (hapana)
Nitumie mbao chache na bati zisizozidi 35-40
Nataka iwe na muonekank wa vitofali vyekundu na mistar myeupe (HAPA TAFADHALI SANA WATAALAMU NISAIDIENI MAANA HATA CJUI HUWA WANAVICHORAJE, MAANA CNA UWEZO WAKUPATA ZILE BLOCKS NDOGO NDOGO ZA KUVAANA)
Nataka nyumba ya bei cheap kweli, yani kwa haraka haraka nitumie kama 3m
Nikiwaza bangaloo sitajenga Leo wala kesho.
Nipo mikoani (unnamed)
Asanteni
View attachment 999854
Sent using
Jamii Forums mobile app