Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

Aahhh! Mahasira kama yote hapa umenikataa eti, tena wewe kibibi gagula wa mwanza ntakusaka adi nkupate apo dom
Nkifika itakuwa late kwenye saa 5 hivi night, nakuja hapo malaika lounge nataka
Nkukute na hao wahudumu waambie wakupe whisk inaitwa Jameson ntalipa sa ole wako usiagize ntakutafuta tafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa nishalala usingiziii mzurii mwororo

Sasa pombe kwaheri tumbo langu limekataa kabisa,na ole wako uanze kuita mama Sabrina,we mhudumu unamjua mama sabrina wa jf utanisaka mpaka ukojoe dagaa
Na ole wako uwe kama yulee flan tunaemchokozaga unitokee povu nitakuchinja kama kashogi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza,nunua mirunda,fito,makuti ,udongo na kamba tu inatosha
 
Tatizo letu tulio wengi ni kutaka kuanza ujenzi na kumaliza ndani ya muda mfupi, kwa kipato gani tulichonacho hilo hatuangalii

Halafu kuna hii tabia ya kuangalia jirani yako kaporomosha bonge la kasri(jumba la Mobutu) unataka na wewe uige nooooo, utachanika msamba. Jenga kajumba kako simple lakini kazuuuri kuendana na kipato chako, huyo jirani ndio uwezo wake na ww fanya kwa uwezo wako
 
Nitakuwa nishalala usingiziii mzurii mwororo

Sasa pombe kwaheri tumbo langu limekataa kabisa,na ole wako uanze kuita mama Sabrina,we mhudumu unamjua mama sabrina wa jf utanisaka mpaka ukojoe dagaa
Na ole wako uwe kama yulee flan tunaemchokozaga unitokee povu nitakuchinja kama kashogi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani leo ndio leo, hao wahudumu wataisoma namba na kuichora, ntawasumbua hadi wataje ulipo. Mtoto laini laini wewe kunywa zanzi au Amarula
Hapo ntalipa na ole wako nkukute hujalewa

Yule jamaa siku hizi sijui kabalika maana uzi wake wa mwisho ilikuwa ni commitment ya kubadilika sa sijui nini kilimsibu, nilijaribu kumchokoza naona amekuwa mpolee!! Sijafuatililia next threads zake nijue kawa mtu wa aina gani


Agiza mbuzi ule ushibe nyauba wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom