Statarea
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 890
- 1,280
Hizi bei ulizoziweka ni za dar es salaam tu! Kanda ya kati, nyanda za juu kusini, na kanda ya ziwa bei ni rahisi mno.3m labda ujenge ya miti juu weke nyasi, halafu fundi uwe mwenyewe na msaidizi mkeo!
- Ebu fikilia Chumba kimoja self container tofali 600 @ 1100/= 660000/=
- cement kujenga hadi plaster 10bags @ 14500/= 145000
- Mchanga fuso 200000/=
- nondo 4@ 20000/= 80000/=
- Ring beam 30@500
- kokoto 100000/=
- maji 50000/=
- madirisha mawili grill na aluminum 800000/=
- mlango frem na top 600000/=
- mlango chooni 400000/=
- Bati 15 @ 22000/= 330000/=
- Kenji mbao 2*2 na 2*4 pc 15/10 =130000/=
- misumali = 15000/=
- Blandaring mbao 15pc = 45000/=
- gypsum board PC 5 = 60000/=
- mikanda 6@4000= 24000/=
- rangi ndoo 30000/=
- gypsum powder 2bags = 30000/=
- white cement 1 bags 30000/=
- Tailizi 30square Mita = 900000/=
- Sinki la choo 30000/=
- septiki tank kuchimba na kujenga 600000/=
- bomba na chember moja 40000/=
- wirering Umeme vikorokoro vyote mainswitch,wire,switch,box,socket,bomba,breka,e/rod n.k =3000000/=
- kuingiza Umeme TANESCO …...…...
- maji dawasco........
UKIJUMLISHA HIZO GHARAMA PAMOJA NA BALANCE YA USAFILI WA MATERIAL HADI SITE! KWA CHUMBA KIMOJA NA CHOO TU ndipo utaelewa pesa yako inatosha au haitoshi
- MALIPO YA UFUNDI boma 450000/=
- mbao za rinta kukodi 8@2000/= 16000/=
- kupaua 300000/=
- plaster na skimming 300000/=
- fitting za Umeme 200000/=
- FUNDI tailiz 150000/=
Kumbuka haitaji masumenti yako tofali za tope zinajengewa na tope baada ya ujenzi kukamilika atachapia na kiasi cha sumenti kitakachotumika ni mifuko miwili tu!
Gharama za mchanga ni 10,000/- kwa wanyama kazi na 20,000-30,000 kwa trekta.
Amesema hataki madirisha ya aluminum (umekurupuka)
Kuhusu rangi amesema anataka tofali ziwe na rangi yake na mistari myeupe
Mimi si fundi ujenzi ila huko mkoani kwenu kuna gharama kubwa sana huku kwetu hata kwa 2M unajenga japo haitofanya finishing